mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 559
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao. Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija.
Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwa nini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.