Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
558
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao. Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija.

Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwa nini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.
 
jamani Kibonde ana protray jina lake, yeye ni kibonde tu a.k.a kilaza.
 
Kweli Kibonde ni Libonde, kichwa cha panzi. Hata hicho kipindi cha jahazi ni cha kizushi sijui unapataje muda kukisikiliza.
 
Kibonde achunguzwe kuhusu afya yake ya akili!! Ulaya na africa wapi na wapi? Hizo pesa zina ubaya gani kwa rais aliyewatumikia watu wake kwa hekima.
 
Upeo wake ndo umefikia mwisho wake hapo, tusimlaumu sana! atakuja kuigharimu sana clouds fm pindi utawala ukibadilika!
 
Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao.Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija. Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwanini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.

Kwani yeye alitakaje kama ime-mkera si na yeye aandae za kwake?
 
Kibonde nlikuwa napenda kipinda chako cha Jahaz bt baada ya kuanza kuponda wanafunz wa chuo nkaona kwel we 4m 4 yenye 4datz y
Yan we ni kiaz hak,kwel badala ya kupongeza 2naskiliza asb vpnd mapema vya Magic na wanadisc mambo muhimu we utahila 2
Ushanu2lia ckuiz unajifanya kupendelea magamba yatakutokea puan a2taki ushabiki wa kijinga
Haya toa ya kwako
Tatizo unaongea sn mpk nonsense
Kibonde unanichefua ile mbaya bado 2 ku2tema na ku2zaa
Damn!Clouds fm 2 allow dis man kuponda u2mbo
Udsm kiboko yak
 
Upeo wake ndo umefikia mwisho wake hapo, tusimlaumu sana! atakuja kuigharimu sana clouds fm pindi utawala ukibadilika!

Ushaona 2015 watasema 2 Clouds fm jifanyen mko upande wa magamba ili ufichiwe mauvu na fiesta zenu
Bt mambo yakichange hakuna kushow birthday ya nan wala nan
Bora 2amie radio nyingine
KIBONDE SIASA UCHWARA UNAWEZA EEH
 
Jamani! Kibonde si anajulikana kuwa yeye ni KIBONDE (yaani KILAZA) bado tunamjadili?

Akitangaza katika kipindi cha jahazi, mtangazaji Kibonde ameiponda tuzo ya Mo Ibrahimu inayotolewa kwa viongozi/marais wa Africa wanaofanya vzuri katika uongozi wao.Ameielezea tuzo hiyo kuwa ni ya kisiasa zaidi isiyo na tija. Katika maelezo yake Kibonde anahoji kwa nini zitolewe fedha?kwa nini iwe ni kwa marais wa Africa na c Ulaya? Kwanini pesa hizo zisingetolewa tu kwa Ngo's yeyote kusaidia maendeleo? Tuzo hiyo mwaka huu imetolewa kwa aliyekuwa rais wa visiwa vya Carpe Verde Bwana Pedro Verona.
 
Kibonde nlikuwa napenda kipinda chako cha Jahaz bt baada ya kuanza kuponda wanafunz wa chuo nkaona kwel we 4m 4 yenye 4datz y
Yan we ni kiaz hak,kwel badala ya kupongeza 2naskiliza asb vpnd mapema vya Magic na wanadisc mambo muhimu we utahila 2
Ushanu2lia ckuiz unajifanya kupendelea magamba yatakutokea puan a2taki ushabiki wa kijinga
Haya toa ya kwako
Tatizo unaongea sn mpk nonsense
Kibonde unanichefua ile mbaya bado 2 ku2tema na ku2zaa
Damn!Clouds fm 2 allow dis man kuponda u2mbo
Udsm kiboko yak

mkuu hiyo lugha ya sms naomba uilekebishe ili ieleweke sawa..
 
honestly nshahama siku nyingi hiyo radio siisikilizi kabsa kwa sababu ya huyu kibonde, yuko kama ze comedy ya kina masanja nshawapotezea kitambo coz hawana jipya zaidi ya kujikomba kwa utawala. politics ni kama dini to some extent na ukishaikashfu imani ya mtu unamtoka moyoni, akilini, na rohoni kama tapishi!
 
Huyo mbumbumbu kumjadili ni kupoteza muda, aliambiwa ulaya kuna viongozi walafi na wavivu wa kufikiri kama bongo! hili jamaa linatumia Masaburi kufikiri! Mo Ibrahimu award imelenga kuwapongeza na kuwahamasisha viongozi wazalendo na mashujaa katika nchi zao kwamba Jitihada na utendaji wao unaonekana na umetukuka.
 
Kibonde anashika nafasi ya kwanza katika orodha ya wana-ccm wanaofikiri kwa kutumia masaburi. Besides, inamuuma kusikia kuwa mkulu, licha ya kupewa hadhi zote ikiwemo kugonga kengele katika soko la hisa la Nasdaq, kupiga picha na 50 cent (eti kisa kuazimisha miaka 50 ya uhuru), kupresent UN kuhusu mambo ya wamama, lakini mtu wa bagamoyo amepotezewa kotekote kuanzia Tuzo ya Amani ya Nobel mpaka na sasa Tuzo ya Mo. Mwaka huu WAMA imekula kwenu.
 
Wewe msukuma gani una maneno kama mkmele
 
I hate the Guy no matter y! Simpendi, simpendi, simpendi, si kwa wajihi wake bali kwa mtazamo wake pamoja na propaganda zake za miaka ya sabini. Sijajua hasa lengo lake ni nini, je jamaa ni sehemu ya serikali? Au ni.....haya bwana sijui la kuandika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom