Kibonde afungua baa na stationery

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
4,434
1,765
Hongera kaka hongeraaa. Wenye vijiba vya moyo kimewashuka shuuuuuuu. Watasema nini sasa. Haoooooo
 
Kama ni kweli basi ule mkataba alioingia na shirika la nyumba la taifa (NHC) kwenye kile kipindi cha MAISHA NI NYUMBA utakua umemlipa vizuri!
 
Hakuna tatizo kama kafanya hivo,atasababisha ajira kwa vjana kadhaa hapo,ni wapi kafungulia ofc hiyo? nampa big up
 
Afadhali, iko wapi stationary nikaombe kazi? Tafadhali nisaidieni mwenzenu nipate walau hela ya poda. Manake dah na hili jua kikwapa noma. Hongera Kibonde
 
Sasa hii nayo ni habari ya kutuletea hapa?.,kama kafungua bar na stationery sisi tufanyaje sasa?,acha kufuatilia mambo binafsi ya watu yasiyo na tija kwa jamii.,ama kweli ustaa bongo ni kama taji la miba linakupendeza huku linakuumiza.
 
yote kwa yote kibonde awapo studio za cloud awache KUROPOKA huko kuropoka kwake ndio labda kunakofanya afutiliwe kumbe kelele zake zote studio niyo baa na stnry
 
Sasa hii nayo ni habari ya kutuletea hapa?.,kama kafungua bar na stationery sisi tufanyaje sasa?,acha kufuatilia mambo binafsi ya watu yasiyo na tija kwa jamii.,ama kweli ustaa bongo ni kama taji la miba linakupendeza huku linakuumiza.

Utamu upo kwenye level ya ubunifu wa miradi yake,fikira zetu huonyesha sisi ni nani...Ndio maana kuna kitu hiki: Jiulize ukipata milioni mbili utafanya nini? Majibu yako linganisha na miradi ya Kibonde...
 
siku zote maskini ndo hutaka kuonekana wana pesa,sasa huyu jamaa angekua anamiliki kampuni kama azam si angekua anapanga watu barabarani anawakanyaga badala ya kukanyaga sakafu,stationery na baa ndo nn ati!
 
unamdharirisha mwenzio ivyoo, yan mbwembwe zoote zile ndio ana ivyoo viji investment vyake duuh!
 
Why are you all so fixated on Kibonde? Is it because he is doing it and you ain't?
 
Back
Top Bottom