Kibonde afungua baa na stationery

Hongera kaka hongeraaa. Wenye vijiba vya moyo kimewashuka shuuuuuuu. Watasema nini sasa. Haoooooo

Am nt sure kama kuna m2 nw days anaeacha kuangaikia mambo yake binafsi na kuumizwa na maendeleo ya mwenzake tena m2 mwenyewe akiwa kibonde!!!Hayo ni yake,mkewe na wanawe
 
hizi aina za biashara mbona zipo low sana - duh.

Kweli mzee B/ness hizi ni low sana na asitÉgemee kÙna cha ajabu hapo,Stationary hakuna faida hata hapo atakuwa na kazi ya kubadili wafanyakaz tu,labda kama tender za clouds atapeleka kwake,maana kama anategemea kazi za watu kazi ipo!
 
Kumbe jamaa ni mbunifu kiasi hiki ! Ana kila haki ya kubwabwaja kwenye radio kukosoa kila nyanja hususani mambo ya watanzania tulivyo wavivu wa kufikiri ktk suala zima la kujiajiri....
"Akili za kuambiwa changanya na zako "- Mbayuwayu
 
aya bana natoa angalizo yeye mwenyewe akienda hapo kwa grosary pesa kwanza ndio audumiwe maana....................bill! ......................................sound.
 
Nimefuatilia mienendo ya baadhi ya wanaJF humu ndani wakimsengenya huyu nguli wa taaluma ya habari bila sababu za kisomi.kwa kuwa tu anatofutiana nao katika misimamo ya kisiasa.

Kwa mfano leo hii muda huu anafanya kwa usadi mkubwa kazi ya MC katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar kwenye mkutano wa wadau wa PSPF.
Huyu bwana ni mfano wa kuigwa kwani ni nadhifu,sauti yake nyororo na yko makini kwa kazi yake.

Hili naamini limemfurahisha hata Mzee Mwinyi ambaye ni mgeni rasmi
 
Mmmh bado sijaona point yako, sidhani kama mda wote anakuwa sahihi japokuwa ni mtangazaji mzuri ila ana matatizo ya kuropoka tu, sidhani kama watu wote wote watakuwa wanamponda with no reason..ana mapungufu yake
 
Kibonde ni mzuri kimombo nk tatizo ni kukurupuka na kufanya analysis na comments bila kuwa mwangalifu. A word spoken can't be retrieved back and mostly his words hurts other side.
 
Tatizo ni kujikweza kwa kibonde, yaani hata kwenye biblia imeandikwa ajikwezae atashishwa!
 
Kibonde nguli w taaluma y habari nchi gani? Au malawi nini mana kazi yke kuropoka 2 anajiona yeye ndio yeye, wakati yko mtaa hana job alikua m2 poa sana bt nw anaishi kwa kuropoka 2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom