Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,030
- 74,722
- Thread starter
- #161
Ungekuwa umechallange hoja kwa lengo la kujifunza ningekuona wa maana lakini ni ubishi wa kijinga tu unakusumbua.Kwa bandiko hili na wataokuunga mkono wote cna budi kuona mna matatizo ya akili au athari za utumwa bdo mko nazo
Misaada gani akati wao ndio weZi wa rasilimali za africa
Afu ukute lileta mada lilikua linashangilia mapinduzi ya niger na jinsi niger inavowafukuza wafaransa ila hapa linatetea wazungu kisa wanatupa msaada akili gani hizi jmn
Rais wako kila siku anajisifia kuhusu kuwa natoka nje kutafuta fedha kuleta maendeleo unadhani anatoka kwenda kuuza nini kama sio kuomba?
40% ya budget ni misaada na mikopo utakuwa na ujanja au kiburi gani wewe! Nyodo zenu tuu huku JF na vijiweni wakati hata vyoo mnajengewa na mnaweka mabango bila aibu "CHOO HIKI KIMEJENGWA KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"?
Hujawahi ona hayo mabango tukuwekee hapa?
Sasa utahongwa bila kudhibitiwa unaendeshaje mambo yako? Acheni jeuri na nyodo ambazo serikali yenu yenyewe haina.