eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,323
Ni kitu gani kinawafanye waogope wageni kuja kuangalia haki za kibinadamu zinavyotendeka? Mwenye hatia ana hofu siku zote.Maisha ya Mwafrica yanasikitisha sana, sitetei ujinga wa Viongozi wetu lakini pia sikubaliana na upumbavu wa Taifa kuingiliwa na kuamuliwa mambo yake na watu wengine.
Tujifunze kujitegemea na hata haki zetu tuzidai wenyewe na sio kuingiliwa na wengine