zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,927
- 6,656
Hii habari ya wabunge wa Bunge la Ulaya (EU) kuzuiwa kuingia Ngorongoro saa 24 kabla ya ziara yao ya kukagua Haki za kibinadamu za jamii ya Wamaasai hakika haitatuacha salama.
Sijui akili za viongozi wa nchi hii zinamilikiwa na nani, kila leo misaada tunakimbilia huko lakini wakitaka kujua tunajiendeshaje katika haki za binadamu tunaficha.
Bomu la Ngorongoro litalipuka soon na kila kitu hadharani.
Kwa bandiko hili na wataokuunga mkono wote cna budi kuona mna matatizo ya akili au athari za utumwa bdo mko nazo
Misaada gani akati wao ndio weZi wa rasilimali za africa
Afu ukute lileta mada lilikua linashangilia mapinduzi ya niger na jinsi niger inavowafukuza wafaransa ila hapa linatetea wazungu kisa wanatupa msaada akili gani hizi jmn