Yanasikitisha kwasababu kama viongozi hawana dira au maono ya kujikomboa kutoka kwenye mfumo wa kuwategemea hao wanaoitwa wahisani ndio maana tunapangiwa nakuingiliwa kwenye maamuzi kama nchiMaisha ya Mwafrica yanasikitisha sana, sitetei ujinga wa Viongozi wetu lakini pia sikubaliana na upumbavu wa Taifa kuingiliwa na kuamuliwa mambo yake na watu wengine.
Tujifunze kujitegemea na hata haki zetu tuzidai wenyewe na sio kuingiliwa na wengine
Sent using Jamii Forums mobile app