Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Wanawadhurumu Mali zao ,kama mkaa na mbao na vyombo vyao vya usafiri ambavyo hivi ndio vinavyowasaidia kuendesha maishaDhuluma gani kwa mfano?
Wanawadhurumu Mali zao ,kama mkaa na mbao na vyombo vyao vya usafiri ambavyo hivi ndio vinavyowasaidia kuendesha maishaDhuluma gani kwa mfano?
PointKashindwa akiwa kamishna wa kanda maalum unadhani ataweza akiwa IGP?
Ww unafikili wanaendaenda tu, mpaka wanafanya hivyo jua wamejiandaa vya kutoshaKama wamemtafuta mpaka uvunguni lazima wameacha alama, Police watumie DNA test waweze kuwapata
Hakushindwa , ila alijitahidi sana na ndo maana hata mamlaka za juu za nchi
zikaona anaweza kufaa kwa kazi hiyo ya kuwa Afande IGP.
Kamuulize Malima alivyojichanganya anga zake nini kilimpataVifo vya zaidi ya watu 10 unasema kajitahidi? Acha utani
Weka ushaidi wako kuwa wale ni magaidiKama panya road wanatamba dsm..! Siro atawaweza hawa magaidi kwelii..??
HAKI NA UKWELI NA KUMCHA MWENYEZIMUNGU NDIYO SULUHISHO
wadengestan wanahusikaAisee utadhan kama wako syria
Magaidi ni watu gani mkuuKama serikali inaogopa hata kusema tu kuwa hao ni magaidi,itaweza kweli kuwadhibiti?? SERIKALI IACHE UNAFKI,HAO NI MAGAIDI FULL STOP.NA INATAKIWA WAPAMBANE NAO KIGAIDI WACHE SIASA.Serikali inayoshindwa kulinda wananchi wake haifai kuendelea kutawala.
Kamuulize Malima alivyojichanganya anga zake nini kilimpata
anajuta saa hizi.
wapi nime mtaja kama muuwaji wa kibiti..?Malima ndio muuaji wa uko Kibiti?