Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Huyo mgambo alikuwa wa cheo gani?
Naunga mkono hoja
mihogo tutalima kweli kwa style hiiiKibiti again.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ukiwa kimbele mbele.So sad. Huko kutakuwa kuna tatizo kubwa ambalo watu hawataki kuliadress, mwisho wa siku wanauwawa wananchi ambao hata kazi wanazofanya haziwanufaishi. Unauwa mgambo, kwa kipi alichonacho?
Au mossadkulala saa 12
Mwisho kuonekana sa 12
Force imetumika kubwa ila bado hitmen wanafanya yao
Intellijensia ndogo
Au hitmen ni watalaamu sana maana kwa wanavyotekeleza mauaji kimya kimya kama spies wa KGB
Dah jamaa hawakuchukua hata chumvi!!!Sasa wanaitwaje Majambazi kama hawakuchukua kitu chochote
Kama ni kweli basi kazi njemaJamaa wa kibiti walishasema watadeal na wanoko wote wanaoleta dhuruma Kwa wananchi ,rejeeni ripoti maalum ya gazeti la mwananchi
Jamaa kweli ni professional!!! Wanamlenga target tu hata wakiwa kwenye pikipikiUkiwa kimbele mbele.
Mbona hawajamuua mke wake.
Jamaa wana target zao.wanaomtaka wana mjua.
Wanaonekana hawabahatishi.
Huko sahihi jeshi la polisi liagize vifaa vya kisasa.Kama wamemtafuta mpaka uvunguni lazima wameacha alama, Police watumie DNA test waweze kuwapata
Hakushindwa , ila alijitahidi sana na ndo maana hata mamlaka za juu za nchiKashindwa akiwa kamishna wa kanda maalum unadhani ataweza akiwa IGP?
yani hao jamaa bana, hata kukamatwa hawakamatwi sjui hata kama polisi wetu wanajua walipokulala saa 12
Mwisho kuonekana sa 12
Force imetumika kubwa ila bado hitmen wanafanya yao
Intellijensia ndogo
Au hitmen ni watalaamu sana maana kwa wanavyotekeleza mauaji kimya kimya kama spies wa KGB
Jamaa wa kibiti walishasema watadeal na wanoko wote wanaoleta dhuruma Kwa wananchi ,rejeeni ripoti maalum ya gazeti la mwananchi