Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,593
- 23,194
Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania
Kidogo angekuwepo yeye angeweza force mambo mpaka ya kawa,nazan angepiga marufuku malori kusafirisha mizigo kwenda huko uganda na nchi zilizo jirani na huko ili mzigo mkubwa upite majini
Maana nawaza ninani atakubali kusafiri kutoka mwanza kwenda bukoba afu apite mpaka mara huo muda nani atakuwa nao,maana dunia yenyewe ya sasa imeshakuwa ni ya kukimbia,muda sio mali tu ni dhahabu