Kibanda afanyiwa upasuaji, atolewa jicho moja!

Kibanda afanyiwa upasuaji, atolewa jicho moja!

Hao walienda kumuona haraka haraka wasije wakawa wameenda na kina Rama wengine wammalizie maana akirudi atakuwa 'marehemu'kama Mwakyembe!atafyatuka yoote!ukute wameenda Plo210 wamalize kazi asije akawanaanika!ni mtazamo tu
 
Pole kama mpaka leo ulikuwa hujaishiwa uvumilivu, mimi naendelea na google search yangu namna ya kuhudhuria mafunzo ya Udunguaji, najuwa hii itakuwa ajira inayolipa sana baada ya mwaka 2015.

Kuna harufu ya wizi wa kura sasa kutakuwa na njia mbadala za kuwaondowa viongozi ambao hamkuwachaguwa ila wamepora madaraka

mimi naenda jeshi miezi michache ijayo nikifanikiwa..nawole wao nijiunge halafu 2015 wazingue..
 
KAULI ya JK it proves how weak intelligence department of our country is.
C'se just two weeks we had crime of madder ed pastor ,stil not yet found the gilt.
so what's intelligence department is for?

Hivi usalama w taifa wapo?
 
Waliomshambulia inasemekana walikua wakimwita kiongozi wao 'afande'. Kama sio dola tuseme labda ni wanausalama wa dola wamekodishwa na watu binafsi? Au mnasemaje wana jf!! Wananchi tunafahamu askari wetu kwa kubobea kula rushwa siku hizi wanaweza kukodishwa!

Kuna mambo mawili,, moja wanwaeza kuwa maafande kutoka kampuni binafsi letsay Ultimate, Inaweza kuwa washambuliaji hao walijipa majina/tittle za "afande" japo walikuwa mabaunsa tu flani. Rejea hata Masalia group ya akina Mchange walijipa majina flani kuficha uhalisia
 
Kuna mambo mawili,, moja wanwaeza kuwa maafande kutoka kampuni binafsi letsay Ultimate, Inaweza kuwa washambuliaji hao walijipa majina/tittle za "afande" japo walikuwa mabaunsa tu flani. Rejea hata Masalia group ya akina Mchange walijipa majina flani kuficha uhalisia
inawezekana ni mabaunsa tu lakini walikua weledi wa kazi waliotumwa
 
Kinachonishangaza katika hili ni kuwa sio suala sensitive sana kwa watawala. Pengine wanalijua ukweli wake. Mbona hatusikii wakiomba msaada wa majeshi Kutoka Nje kama FBI, CIA, Interpol N.k? Au pengine wanaouawa na kujeruhiwa sio maaskofu na mapadri? Damu ile sio ya Watanzania?? Kwa nini iwe cheap hivyo?.
Tujiulize tulipofika hapa,

Leo hii kupigwa au kuuawa Sheikh, Mhariri au mwandishi wa habari, raia wa kawaida inaonekana sio tatizo na mambo yanafunikwafunikwa mpaka upepo unapita. Lakini akiuawa Askofu au Padri basi Majeshi yote duniani yanaitwa. Tena katika mambo waliyodhulumiana wenyewe kwa wenyewe. Tujiulize, Tumefikaje hapa??

Serikali itupe majibu ya maswali haya kwa uwazi. Kuwe na mijadala ya wazi. Na tusiogope kusema ukweli!! Hivi nani yuko salama????. Tutaunda tume ngapi na halafu hizo tume zitasaidia kurusha jicho au mkono au roho iliyopotea??
 
singo za jikei ni zile zile watanzania tumezoea kufanyiwa unyama na hawa mafisi, kubenea,ulimboka na wengine wengi jamaa alikuwa wa kwanza kuwapa pole na liwatembelea hospitalini. shame on you plezidaa lakini hata Doe na Gaddafi waliamini wataishi milele lakini mwisho ulikuwa tofauti
 
Tusikaushe mate kwa hili.Tanzania hatuna Viongozi. hata wakufananisha na nchi nyingine HATUNA
 
duh. tz inatisha! jamaa wanangoa kucha bila ganzi na kuharibu macho! duh. ebanaeee watz wenzetu wametoa wapi hayo mambo?
 
Inasikitisha sana afu eti inaitwa Tanzania kisiwa cha Amani...kweli!!
 
Back
Top Bottom