Kibanda afanyiwa upasuaji, atolewa jicho moja!

Kibanda afanyiwa upasuaji, atolewa jicho moja!

Dah laana zote za kumbukumbu la torati 28:15-68 ziwe juu ya kila aliyehusika,he unyama wa aina gani huu
 
Huu uvumilivu kwa wananchi utakuwa na mwisho na huo mwisho utawagharimu wengi hasa viongozi hawa dhaifu walioko madarakani kwani matukio mengi kama haya yatokee ktk serikali hii ya awamu ya nne? Na hao hao ndo wanaonyamazia haya mambo pasipokuchukua hata chembe ya hatua zaidi ya kuishia kutoa kauli zisizokuwa na utekelezaji. Mungu atamtangulie apone mapema na kuifariji familia yake
 
Mungu amsaidie Kibanda kupona,Na msamaha kwa waliomtendea.
Mungu ni waajabu hilo kundi la watu linalofanya mateso kwa watu wa mungu ikosiku litafahamika na kuibaka.
Asante Mungu!
 
Mmh! kazi kweli.... tuombe mungu amsaidie.

waliambiwa moi walitoe wakakataa wakidhani madaktari wa south wanasomea mbinguni. Mtu amekaa siku zote hizi na dead body organ kwa uzembe na upuuzi wa wachache. Leo badala ya operation ya kulitoa ingekuwa inafanyika ya kuweka hilo la plastic. Pumbaf zao ila mwenyezi amtibu mjeruhiwa.
 
Riziwani kikwete anawajua watu waliomtesa kibanda.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi wale waliomfanyia unyama kama aliofanyiwa ndugu yetu Absalom wamekamatwa maana tunasikia hadi leo dr Ulimboka hajahojiwa!
kama ndo hivyo basi isiwe mwisho wa harakati zake kama dr. Ulimboka kwani watajitangazia ushindi kama walivyojitangazia kwa huyu dr.
 
Mimi nafikiri tuendelee tu kuishi hivi Watanzania kwani ndio tiliyochagua maana hata useme vipi kwa watanzania hawa waoga hata kudai haki zao za msingi kila kitu wanaona hisani mtauziwa mpaka hewa namtakaa kimya..
 
Hapa wanahabari muungane mfanye jambo fulani,vinginevyo... Pole sana Kibanda na familia yako.
 
Mungu amsaidie kibanda apone haraka ila serikali iwe makini sana na uchunguzi wao ambao mara nyingi hatuoni matunda yake. Ipo siku wananchi watapoteza imani na jeshi la polisi na serikali yao, nini kitatokea >>>mimi na wewe msomaji wangu hatujui
 
waliambiwa moi walitoe wakakataa wakidhani madaktari wa south wanasomea mbinguni. Mtu amekaa siku zote hizi na dead body organ kwa uzembe na upuuzi wa wachache. Leo badala ya operation ya kulitoa ingekuwa inafanyika ya kuweka hilo la plastic. Pumbaf zao ila mwenyezi amtibu mjeruhiwa.

muhimbili hawaaminiki, wangelitoa jicho la kulia badala ya la kushoto liliumizwa!
 
Hii inaonyesha wazi wazi kuwa polisi sasa hawana uwezo wa kulinda raia na mali zao
 
huyu jamaa hapa namnukuu "Neville C. Meena,
Secretary General,
Tanzania Editors Forum - TEF,
Dar es Salaam - Tanzania." ni mnafiki sana.....kulikuwa na haja gani ya kuripoti upasuaji na kutuambia ya Jekey?.....ni heri wange kuumiza wewe Neville kwa kuwa ni mnafiki kuliko watu wote ninao wajua

Usiumie kwasbb hakufanyiwa yeye, mpangieni tu naye siku yake basi.
 
KAULI ya JK it proves how weak intelligence department of our country is.
C'se just two weeks we had crime of madder ed pastor ,stil not yet found the gilt.
so what's intelligence department is for?
 
Back
Top Bottom