Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

Wa sasa ni upi mkuu? Huu ndo wasasa. Kuhama na chekNo huo ndo utaratibu unaokubalika, but kama uki resign utaondolewa kwenye payroll afu ukienda tena kule kwingine hautaweza kuingizwa kwakuwa payroll ni ileile uliyoondolewa kwa kupigwa blocku.
Na huo utaratibu wa kuhama upoje mkuu, naweza kutueleza kwa ufupi angalau?
 
Na huo utaratibu wa kuhama upoje mkuu, naweza kutueleza kwa ufupi angalau?
Kama umeajiriwa serikalini, ukitaka kuomba kazi tena kama.kuna nafas nzuri zaidi ni lazima barua yako ya kuomba kazi ipitie (K.K) kwa mwajiri wako. Akipitisha ukaitwa inyerview na kushinda, utajulishwa kwa kupewa barua ya kufaulu usaili na kutakiwa kuripoti. Unachofanya unaandika barua KUOMBA KUHAMIA HUKO. Barua yakoutaielekeza kwa Katibu Mkuu Utumishi na itatakiwa kupitia (K.K) kwa mwajiri wako na nakala unampa Mwajiri wako mpya. Ambatanisha nakala ya barua yako ya kuitwa kazini kwenye hii nafasi mpya.

Huo uhamisho hautakua na issue yyte coz mwajiri alikuruhusu ufanye usaiili so kukupitishia barua ya kuhama ili iende utumishi itakua ni simple sn. Na utumishi nao hawatakuwa na sababu zzte za kukunyima utumishi coz utaratbu wote umefuata, mwajiri wako kakuruhusu na unakoenda nafasi umeshapewa.
 
njaaa ni kitu kimoja kibaya sana.Ukiona kijana kama wewe unakimbilia serikalini na maisha ya kule yalivokuwa hovyo kwa awamu hii ,basi wewe ni mhenga? walaaahi nakuapia
 
ilikuwa ni muhimu sana mtoa post ujibu maswali haya ili uelekezwe namna ya kufanya. Unarudi ulikokua unafanya kazi au unataka kazi mpya????

Anyway ntakujibu....

1. Kama ni Kurudi ulikokuwa unafanya kazi: Andika barua kwa KATIBU MKUU -Utumishi barua ya kuomba urudi kwenye utumishi na ueleze kwanini "ulilazimika" kuacha kazi (eleza sababu zenye maana) na pia ueleze kwamba unaomba urudi kwenye utumishi uendelee kutumia CheckNo. yako. NI LAZIMA barua yako ipotie (K.K) kwa mwajiri wako na "akiipitisha" maana yake ni kwamba anakuhitaji urudi na kwamba nafasi yako ipo wazi na hyo ndiyo itakuwa salama yako, aki recommend vinginevyo barua yako itaenda ila maombi yako utakataliwa fasta tu.

2. Kama ni mwajiri mpya (serikalini): HAURUHUSIWI hata kuomba kazi. So the only solution ni namba 1 hapo juu.

Mchakato wa kukurudisha utaamriwa pia na Vetting (upekuzi) wa kina (extended) ili kuchunguza sababu zilizokufanya uache kazi, mazingira/mwenendo wako ulipokuwa kazini na huko uraiani.

Kayajenge na mwajiri wako akikubali kupitisha barua yako umepona. La sivyo usijisumbue kuomba kazi mpya serikalini, kwakua hauruhusiwi, au hata ukishinda usaili mchakato wa kukuajiri hautakamilika (hautaingia kwenye payroll) na utakua umefanya kazi bure otherwise mwajiri wako mpya awe na huruma sana akuombee yeye kibali wakat ww ukiwa uansubiri kitolewe utakua nyumbani.

Maombi ya Katibu mkuu kiongozi yanapelekwa na Katibu Mkuu Utumishi, sio ww unamwandikia direct.
We we unaweza kuwa sahihi, niulize kwa hiyo saivi kama ulikuwa local gov ukapotea huwezi kuajiriwa hata kwenye mashirika ya umma kama Tanesco/TBS/Ewura/Tanroads/Sumatra etc etc
 
Kama umeajiriwa serikalini, ukitaka kuomba kazi tena kama.kuna nafas nzuri zaidi ni lazima barua yako ya kuomba kazi ipitie (K.K) kwa mwajiri wako. Akipitisha ukaitwa inyerview na kushinda, utajulishwa kwa kupewa barua ya kufaulu usaili na kutakiwa kuripoti. Unachofanya unaandika barua KUOMBA KUHAMIA HUKO. Barua yakoutaielekeza kwa Katibu Mkuu Utumishi na itatakiwa kupitia (K.K) kwa mwajiri wako na nakala unampa Mwajiri wako mpya. Ambatanisha nakala ya barua yako ya kuitwa kazini kwenye hii nafasi mpya.

Huo uhamisho hautakua na issue yyte coz mwajiri alikuruhusu ufanye usaiili so kukupitishia barua ya kuhama ili iende utumishi itakua ni simple sn. Na utumishi nao hawatakuwa na sababu zzte za kukunyima utumishi coz utaratbu wote umefuata, mwajiri wako kakuruhusu na unakoenda nafasi umeshapewa.
Mkuu ,unafahamu nature ya waajiri wetu lakini? Jamaa ninao wajua hawakupitisha barua ya kuomba kazi kwa mwajiri. Maana kuna kukatishana tamaa na roho zao mbaya, na mara nyingi hawapitishi.
 
We we unaweza kuwa sahihi, niulize kwa hiyo saivi kama ulikuwa local gov ukapotea huwezi kuajiriwa hata kwenye mashirika ya umma kama Tanesco/TBS/Ewura/Tanroads/Sumatra etc etc
Jambo la muhimu kabla ya kuomba ni uulizie kwanza kama WAPO HAZINA au WANAJILIPA WENYEWE. kama ni Hazina baba usijisumbue, but kama wanajilipa wenyewe hiyo haina shida.

Otherwise kama wapo hazina na ukiomba, ukipata lazima usubiri mwajiri wako akuombee kibari cha kukuingiza payroll japp mwajiri kama ana roho mbaya atafkia kukutolea nje tu kwamba "wewe huna sifa za kuajiriwa"
 
Mkuu ,unafahamu nature ya waajiri wetu lakini? Jamaa ninao wajua hawakupitisha barua ya kuomba kazi kwa mwajiri. Maana kuna kukatishana tamaa na roho zao mbaya, na mara nyingi hawapitishi.
Hapo sasa ni ujuzi wako wa Lobbying, lakini kiutaratibu HUEZI OMBA KAZI NYINGINE SERIKALINI au HUEZI KUOMBA UHAMISHO bila kupitisha barua yako kwa mwajiri wako kwakuwa Ni lazima mwajiri wako aridhie hayo yote. Na hata matangazo ya kazi sekretarieti ya ajira wanaeleza kwamba aliye kwenye utumishi ni lazima barua yake ipitie kwa mwajiri wake.

Hao ambao hawakuomba hawapitishi barua kwa mwajiri ni either waliondoka na kwenda private employers au walienda kwenye mashirika ambayo hayapo kwenye mfumo wa Payroll ya Hazina (LAWSON)
 
vip kihusi mamlaka ua maji safi na maji taka kwa mfano DAWASCO, MWAUWASA na kazilika malipo yao wanajilipa wenyewe au wanapitia hazina nataka niombe huko niachane na Local Goverment
 
Wa sasa ni upi mkuu? Huu ndo wasasa. Kuhama na chekNo huo ndo utaratibu unaokubalika, but kama uki resign utaondolewa kwenye payroll afu ukienda tena kule kwingine hautaweza kuingizwa kwakuwa payroll ni ileile uliyoondolewa kwa kupigwa blocku.
Lakini kuna utaratibu wa kuomba kibali cha kuajiriwa tena serikalini kama ulikuwa huko ukaacha kazi, nadhani ndicho anachotaka mleta mada, yaani unaomba kibali kikusaidie kipindi utakapopata ajira serikalini.
 
vip kihusi mamlaka ua maji safi na maji taka kwa mfano DAWASCO, MWAUWASA na kazilika malipo yao wanajilipa wenyewe au wanapitia hazina nataka niombe huko niachane na Local Goverment
Hao wanajilipa.
 
Tusijipe matumaini sana, magufuli kabadili mambo mengi sana. Unaweza ukute taasisi zote za serikali hazichukui walowahi kuajiriwa. Kozi huu ulikuwa upenyo wa wengi rejea wito wake wa kuwataka wahandisi wa wilaya wawe monitored na wizara.
 
Lakini kuna utaratibu wa kuomba kibali cha kuajiriwa tena serikalini kama ulikuwa huko ukaacha kazi, nadhani ndicho anachotaka mleta mada, yaani unaomba kibali kikusaidie kipindi utakapopata ajira serikalini.
Unaombaje kibali na hakuna nafas. Kibali kikitolewa maana yake ni kwamba unaingizwa kwenye payroll. Na hua maombi ya hicho kibali kinaitwa KUOMBA KUENDELEA KUTUMIA CHECK NUMBER. So ukiruhusiwa maana yake check no yako inakua activated unaanza kula mshahara
 
Unaomba kibali ambacho kitakusaidia pindi utakapopata ajira ndio maana kwenye matangazo ya ajira kuna neno sharti hili "Waombaji waliostaafishwa katika utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi."
 
Nina experience na nilichoandika,
Kuna mtu namjua kabisa aliacha kazi serikalini aliajiriwa Tamisemi akaacha akaenda Australia kufanya masters.
Akarudi Akaona kazi zimetangazwa BOT.
Akaomba akaitwa kwenye interview akafanya akafaulu sasa hivi yupo BOT anafanya kazi.
Hajaomba cha kibali wala nini, kwenye CV yake hakuonyesha kwamba alishawahi kuajiriwa serikalini
Sasa wewe kusema alipo si umeshamchongea tayari?duh wabongo siri ni somo gumu sana kwetu
 
Kwa ufupi kama taasisi yako mpya utakayopata kazi kama mshahara wako haupiti hazina haina shida...ukipata taasisi zinazojilipa zenyewe kama mashirika makubwa ya umma..especially ambayo hayatumii mfumo wa Check number no problem ila wizaran na halmashauri itakua ngumu watakuona ulishawah kua na check number..optn ya pili kama huna kazi nenda kwa mwajiri wako mweleze sababu za kuacha kazi japo sina uhakka na hiyo procedures cz tayar apo ni utoro kazini labda uwe na geniune factor na vithibitisho i.e vya ugonjwa n.k
 
Wakuu habari?
Naomba kuulizia nawezaje kupata kibali cha kuweza kuomba tena kazi serikalini kwakuwa niliacha kazi kutokana na matatizo je naweza kupata wapi kibali?
Kila halmashauri niombayo kazi wananiambia niombe kibali kwa katibu mkuu kiongozi ingalipo sijui ofisi yake ipo wapi? Na anuani yake Sina .
Msaada please kwa yoyote ajuaye.
Nawasilisha.
Nenda kamuone katibu mkuu Dodoma
 
Back
Top Bottom