Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

Mkuu kwa sasa ajira karibia nyingi za mashirika yanapitia utumishi nina mfano hai kabisa mimi mwenyewe nimepata kazi moja ya mamlaka za maji safi na maji taka na nilifanya pepa utumishi nikatoboa flesh
Mkuu, zama inbox kwako.
 
Nampa mfano Mimi Nina barua yangu niliwasilisha wizarani Utumishi toka mwezi wa 8 hadi leo bado sijapata majibu baada ya kupata kibali toka kwa katibu mkuu kiongozi nami bado najiuliza nitaajiriwa lini? na sasa Nina miezi minne toka niwasilishe.
 
Kuna mwl mmoja ajira mpya 06/2021 ali report shuleni kwetu akaanza kupambana kimya kimya kurudi kwenye payroll kwasababu aliacha kazi kipindi cha nyuma na alikua tayar na check number.. Wenzake wote walipata mshahara akabaki yeye peke yake hata hela ya kujikimu hawakumlipa. Kwenye vikao unakuta DEO anasema walimu wetu wapya wote wameshalipwa stahiki zao na mshahara wanapata kasoro mwalimu mmoja ambae ana case yake binafsi tunaendelea kushughulikia tatizo lake likitatulika na yeye tutamlipa hela zake.... Tukakaa na mshikaji huku tukimpiga tafu kibingwa ili aweze kusurvive ilipotimia miezi mitatu hivi, Mwamba aliuza godoro la shule, tukasikia ana tuhuma zingine za wizi mtaani, akatoroka usiku wa manane hadi leo hatujui yuko wapi.
 
Sio kweli system bado haijabadilishwa Mimi nipo huko najua kila kitu.
Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa niombe sekretarieti ya ajira nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira. Namba yangu ya Whatsapp 0624162318.
 
Sio kweli system bado haijabadilishwa Mimi nipo huko najua kila kitu.

Sio kweli system bado haijabadilishwa Mimi nipo huko najua kila kitu.
Nisaidie Mimi kwa ushauri Nina barua toka kwa katibu mkuu Utumishi baada ya kunipa kibali katibu mkuu kiongozi cha kuajiriwa nimeambiwa na katibu mkuu Utumishi niombe sekretarieti ya ajira au mamlaka yoyote inayojihusisha na ajira serikalini nipangiwe kituo cha kazi je Utumishi watafahamu vipi nimeomba kazi fulani sekretarieti ya ajira au mamlaka fulani?
 
Jambo la muhimu kabla ya kuomba ni uulizie kwanza kama WAPO HAZINA au WANAJILIPA WENYEWE. kama ni Hazina baba usijisumbue, but kama wanajilipa wenyewe hiyo haina shida.

Otherwise kama wapo hazina na ukiomba, ukipata lazima usubiri mwajiri wako akuombee kibari cha kukuingiza payroll japp mwajiri kama ana roho mbaya atafkia kukutolea nje tu kwamba "wewe huna sifa za kuajiriwa"
0629105649 Tafadhali nitafute
 
Back
Top Bottom