Kibali cha kuomba tena kazi utumishi

Dickmadegwa

Member
Aug 26, 2014
27
7
Wakuu habari?
Naomba kuulizia nawezaje kupata kibali cha kuweza kuomba tena kazi serikalini kwakuwa niliacha kazi kutokana na matatizo je naweza kupata wapi kibali?
Kila halmashauri niombayo kazi wananiambia niombe kibali kwa katibu mkuu kiongozi ingalipo sijui ofisi yake ipo wapi? Na anuani yake Sina .
Msaada please kwa yoyote ajuaye.
Nawasilisha.
 
Sijajuelewa ndugu!!..Yaani umepata tena kazi serikalini na system haikutambui tena au unataka kurudi kwenye kazi yako ya awali na mwajili amekukubalia ila system inagoma kukutambua? . Tatizo lako lipo wapi hapo? Funguka usaidiwe mawazo.. kupata anuani ya chief Secretary inaweza isisaidie pia
 
Iko hivi, sasa hivi ukiacha kazi serikalini huwezi kuajiriwa tena mpaka uombe kibali kwa katibu mkuu kiongozi.
 
Sijajuelewa ndugu!!..Yaani umepata tena kazi serikalini na system haikutambui tena au unataka kurudi kwenye kazi yako ya awali na mwajili amekukubalia ila system inagoma kukutambua? . Tatizo lako lipo wapi hapo? Funguka usaidiwe mawazo.. kupata anuani ya chief Secretary inaweza isisaidie pia
Ni vema ukajibu maelezo haya then upate maelekezo ya kutosha
 
Kwa wale ambao hawakumuelewa ipo hivi, alikuwa anafanya kazi serikalini, lakini akapata matatizo, hivyo ikapelekea aache kazi ili atatue matatizo hayo. Sasa hivi kila akiomba kazi yoyote zinazotangazwa anaambiwa mpaka apate kibali kwa katibu kiongozi kitakachoainisha kwanini anaomba kazi wakati aliwahi kufanya kazi serikalini na kuacha. Kwa yeye hajui hiyo ofisi ya katibu kiongozi ipo wapi?, wala mkoa gani au anaweza kuwasiliana vipi.
 
Wewe omba kazi utakayoiona ambayo unasifa nayo, Aidhaa kwenye CV yako usiseme ulishawahi kuajiriwa serikalini, tena kama vipi omba kwenye haya mashirika ya umma ambayo yanajilipa mishahara yenyewe kimsingi hautagundulika kirahisi labda upangiwe Kwa muajiri wako wa zamani uliyeacha ajira yako, au mtu mbaya wako akisikia umepata kazi akuchongee kwamba uliacha kazi serikalini.
 
sidhani kama upo sahihi mkuu
 
Sijajuelewa ndugu!!..Yaani umepata tena kazi serikalini na system haikutambui tena au unataka kurudi kwenye kazi yako ya awali na mwajili amekukubalia ila system inagoma kukutambua? . Tatizo lako lipo wapi hapo? Funguka usaidiwe mawazo.. kupata anuani ya chief Secretary inaweza isisaidie pia
ilikuwa ni muhimu sana mtoa post ujibu maswali haya ili uelekezwe namna ya kufanya. Unarudi ulikokua unafanya kazi au unataka kazi mpya????

Anyway ntakujibu....

1. Kama ni Kurudi ulikokuwa unafanya kazi: Andika barua kwa KATIBU MKUU -Utumishi barua ya kuomba urudi kwenye utumishi na ueleze kwanini "ulilazimika" kuacha kazi (eleza sababu zenye maana) na pia ueleze kwamba unaomba urudi kwenye utumishi uendelee kutumia CheckNo. yako. NI LAZIMA barua yako ipotie (K.K) kwa mwajiri wako na "akiipitisha" maana yake ni kwamba anakuhitaji urudi na kwamba nafasi yako ipo wazi na hyo ndiyo itakuwa salama yako, aki recommend vinginevyo barua yako itaenda ila maombi yako utakataliwa fasta tu.

2. Kama ni mwajiri mpya (serikalini): HAURUHUSIWI hata kuomba kazi. So the only solution ni namba 1 hapo juu.

Mchakato wa kukurudisha utaamriwa pia na Vetting (upekuzi) wa kina (extended) ili kuchunguza sababu zilizokufanya uache kazi, mazingira/mwenendo wako ulipokuwa kazini na huko uraiani.

Kayajenge na mwajiri wako akikubali kupitisha barua yako umepona. La sivyo usijisumbue kuomba kazi mpya serikalini, kwakua hauruhusiwi, au hata ukishinda usaili mchakato wa kukuajiri hautakamilika (hautaingia kwenye payroll) na utakua umefanya kazi bure otherwise mwajiri wako mpya awe na huruma sana akuombee yeye kibali wakat ww ukiwa uansubiri kitolewe utakua nyumbani.

Maombi ya Katibu mkuu kiongozi yanapelekwa na Katibu Mkuu Utumishi, sio ww unamwandikia direct.
 
sidhani kama upo sahihi mkuu

Nina experience na nilichoandika,
Kuna mtu namjua kabisa aliacha kazi serikalini aliajiriwa Tamisemi akaacha akaenda Australia kufanya masters.
Akarudi Akaona kazi zimetangazwa BOT.
Akaomba akaitwa kwenye interview akafanya akafaulu sasa hivi yupo BOT anafanya kazi.
Hajaomba cha kibali wala nini, kwenye CV yake hakuonyesha kwamba alishawahi kuajiriwa serikalini
 
mkuu ni kweli lkn sasa hv kuna mfumo wa ulipaji mishahara kama ulikuwa permanent employee nadhani wakiweka details zako taarifa zitasoma kwamba ushawahi kuajiriwa.....
 
Nina experience na nilichoandika,
Kuna mtu namjua kabisa aliacha kazi serikalini aliajiriwa Tamisemi akaacha akaenda Australia kufanya masters.
Akarudi Akaona kazi zimetangazwa BOT.
Akaomba akaitwa kwenye interview akafanya akafaulu sasa hivi yupo BOT anafanya kazi.
Hajaomba cha kibali wala nini, kwenye CV yake hakuonyesha kwamba alishawahi kuajiriwa serikalini
Daaaah mambo yamebadilika sana kimfumo kipindi hiki cha Anko Magu ukiajiliwa na ukishaingizwa kwenye system harafu ukaacha kazi bila kibali cha mwajiri wako na kufollow procedure, hata ukienda kuajiriwa kwenye taasisi yoyote ile system inagoma. Na si kwenye ajira tu hata shule akishaingizwa kwenye system darasa la nne basi taarifa zake zitaendelea kuwa hivyo hivyo tu na ni Tanzania nzima idara zote za serikali
 
Nina experience na nilichoandika,
Kuna mtu namjua kabisa aliacha kazi serikalini aliajiriwa Tamisemi akaacha akaenda Australia kufanya masters.
Akarudi Akaona kazi zimetangazwa BOT.
Akaomba akaitwa kwenye interview akafanya akafaulu sasa hivi yupo BOT anafanya kazi.
Hajaomba cha kibali wala nini, kwenye CV yake hakuonyesha kwamba alishawahi kuajiriwa serikalini
Kuna kitu unatakiwa kukufaham Arif.
Ukiajiriwa serikali kuu (wizara, idara, tume) au Local government (halmashauri za jiji, manispaa, wilaya, miji) wewe utakua unalipwa na HAZINA na lazima upewe namba yako maalum ya kwenye payroll ndo inaitwa CheckNo. Hyo namba ukiacha kazi inablockiwa kwenye payroll hivo ukitaka kurudi tena kwenye taasisi yyte kati ya hizo hautaweza kuingizwa kwenye payroll mpaka kibali cha katibu mkuu kiongozi.

Ukiajiriwa kwenye Mashirika ya Umma (NSSF, PPF, TANESCO) au baadhi ya taasisi za serikali (BOT, TRA) mshahara wako utakua unalipwa hapohapo na mwajiri wako, SIO HAZINA. kwahyo hautakuwa na CheckNo kwakuwa hautaingizwa kwenye payroll ya HAZINA.

Sasa basi, kama uliacha kazi Serikali Kuu/LGA na CheckNo ya kublockiwa itakua ni issue sana ww kuajiriwa tena kwakuwa ukiajiriwa lazima taarifa zako zitagoma kuingia kwenye payroll na zitaonyesha ulikuwemo badae ukablockiwa. Hivo ni lazima uombewe kibali na utatakiwa kufanyiwa upekuzi wa kina ili ukiwa na vigezo vya kurudi utakuwa unblocked.

Kama ulikua serikali kuu/LGA na ukaacha kazi, ukaajiriwa upya kwenye kundi la pili yaani Mashirika ya Umma au taasisi zinazojitegemea hautapata tatizo lolote kwakuwa wao hawaongizi taarifa zako kule ulikoblockiwa (HAZINA) wanajilipa wenyewe tu. Na ndicho kilichotokea kwa huyo Muaustralia. Na kwasababu hiyo hakua hata na ulazima wa kuficha kwamba aliwah kufanya kazi akaacha coz hakuna mwingiliano wowote. Ispokua serikali ikibadili sera na kulazimisha BOT walipwe na HAZINA huyo jamaa atakua kwwnye trouble.
 
mkuu utaratibu wa sasa ni kama umebadilika vile ,nadhan hiyo ilikuwa zamani
 
Inakuaje kwa Yule ambaye ameajiriwa ,let say serikali za mitaa Au halmashauri .Na mshahara wake unalipwa kutoka hazina .Lakini ajira zikatangazwa serikali kuu ama kwenye taasisi za serikali .Na yeye ana vigezo, mbona huwa wanaomba na wanapata mkuu.Na mwisho wa siku anahama na check no yake. Hyo ikoje ?
 
Wa sasa ni upi mkuu?

Huu ndo wasasa. Kuhama na chekNo huo ndo utaratibu unaokubalika, but kama uki resign utaondolewa kwenye payroll afu ukienda tena kule kwingine hautaweza kuingizwa kwakuwa payroll ni ileile uliyoondolewa kwa kupigwa blocku.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom