Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Mkuu Kitila, hakuna anayeshangilia wizi wa kura, isipokuwa majuzi tu huyu Kibaki, alikua akishangiliwa kama shujaa wa mageuzi, sasa leo kabadilika tena, sisi hatuwezi kwenda kaa bendera tuuu, binafsi nina wasi wasi na system nzima ya Kenya na hizi chaguzi kuwa hazina ukweli, ninahitaji facts zaidi kuwaelewa hawa maaana wananichanganya!
Ngoja kwanza mkuu, yaani sisi hapa ni kwamba ni principle, kwa hiyo kama Kibaki ali-champion mageuzi na kama leo amebadilika kubaka mfumo na principles zilizotufanya tumuunge mkono lazima tumkome nyani gladi. Kwa maneno mengine hapa hapendwi mtu, ni principle tu. Ndio kusema hata shujaa wetu Zitto akitugeuka kesho akaanza kuleta za kuleta tutamkoma nyani gladi hapahapa mkuu, tena wewe ndio umetufundisha huu msemo.