Kibaki amerudi Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibaki amerudi Ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Dec 30, 2007.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2007
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hatimaye Kibaki ametangazwa mshindi huku vyombo vya habari vya kujitegemea vikifukuzwa toka ukumbini .

  Nyeti ndiyo hizo mchezo sijui umeisha ama ndiyo umeanza sijui nawe sema lako .
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  SAWA!!! Na anaapishwa..hata ITV wanarusha..!!
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Dec 30, 2007
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Tumejifunza nini toka mfumo wa Popular vote kumchagua rais wa nchi?... KIBAKI ni ushahidi tosha wa mbinu chafu (loopholes) za kisiasa - Hazijengi ila kubomoa Taifa!
   
 4. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ina maana anaapishwa leo leo?
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2007
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Yebo Yebo,
  Kishaapishwa. Nimeandika kidogo kule kwenye topic ya Kenya elections. Nimeangalia live KBC channel 1.
   
 6. C

  Choveki JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2007
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mimi nilihisi kuwa hatakubali kushindwa kiulani hivyo...Hii ndo afrika, cha kusikitisha ni kuwa kutokana na yalotokea Pakistan, macho yote yapo huko! Na huko Kenya hakuna mtu anayekujali sana katika kipindi hiki cha maomboleza na kutafuta muuaji huko Pakistani.
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  A very shameful scene from state house: Swearing in ceremony at night, those in attendance except Kivuitu smiled, Mungatana wearing a white t-shirt, etc. This is not Kenya. A very very sad day for Kenya
   
 8. Dua

  Dua JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 14, 2006
  Messages: 2,481
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Ameapishwa chap chap ili atume askari kwenda kuua raia waliomnyima kura. Kula kuzuri bwana hakuna mwaliko kwa Jk wala M7, hata Kagame na kundi lao la MAFISADI maana hata yeye anaweza asifike kesho. Si unafahamu kuna suicide bombers siku hizi.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,090
  Trophy Points: 280

  Duh! Unaapishwa haraka kiasi hicho na kushindwa kuwaalika hata majirani zako! Tuna kazi kubwa Afrika ya kupambana na mafisadi.
   
 10. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2007
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  This is damn sh^&*t, hivi mwanaume mzima nishinde uRais halafu nikubali kuapishwa usiku? This is Africa and only Africa, wacha akaue watu wataompinga maana ndio target
   
 11. C

  Choveki JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2007
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndiyo maana ameamua aampishwe haraka haraka kwa kunyatia kama mwizi! Unajua baada ya hapo hicho kipigo na mkwala atakaotembeza akina Raila watakoma.
   
 12. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Sasa tunahitaji analysis of why ODM did not 'win'. My quick reaction, pamoja na claims of Kibaki rigging: One of key strategy miscaculation by ODM is Kalonzo factor- they would have convinced him to support Raila- as Kalonzo got 800,000 votes- which would have boosted Raila votes!

  ODM took Kalonzo lightly and concentrated on Kibaki!
   
 13. Nabii

  Nabii Member

  #13
  Dec 30, 2007
  Joined: Mar 20, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HII NDIYO DEMOKRASIA YA NCHI ZETU SIJUI TUNAKWENDA WAPI MAANA KWA HEKIMA KIBAKI ANGEKUBALI TU AACHIE NGAZI.

  ODM WABUNGE 72 NA PNU WABUNGE 24. MBONA HUKO BUNGENI KUTAKUWA NI KILA SIKU KUPINGANA NA KUTOKA NJE YA VIKAO?
   
 14. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2007
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0


  Very academic, na ndio tuncahohitaji sasa this kind of analysis!
   
 15. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hata Kalonzo angeongeza kura zake laki tano, bado Kibaki angetumbukiza zingine laki sita. Huwezi kushindana na mtu ambaye hana heshima yoyote na demokrasia.

  Tumeyaona hayo Zanzibar miaka na miaka, sasa Kenya. Tanzania bara tutayaona pia kama upinzani watapata nguvu kubwa.

  Kwa mwendo huu Afrika tusitegemee maendeleo kamwe. yatakuwa yanakuja leo na kesho kubomolewa. Inasikitisha, inatia aibu.
   
 16. C

  Chuma JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2007
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mna hakika gani kama Kalonzo kapata hizo? hizo ndio rigging zenyewe? alichohitajia Raila kura ziwesabiwe UPYA ..mbona wamekataa? CCM walifanya hili Znz na Bara ktk uchaguzi wa DSM...
  Wanachofanya hapo ni simple maths..kukupunguzia na kumwogezea mpinzani dhaifu...
  We dont have to time ya Ku-analyze ikiwa Uchaguzi hakuwa Fair...
   
 17. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  nakuambia,

  sio tu kuwa inachekesha ila inasitisha kufurahia uafrika. Kazi kweli iko mbele yetu.
   
 18. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2007
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  FMES,

  Kwa jinsi nilivyofuatilia uchaguzi wa Kenya, hata Kalonzo angekuwepo bado Kibaki angeshinda tu. Waliamua kushinda hakuna kitu ambacho kingeliweza kuwazuia.

  Mtu kapoteza mawaziri wake karibu wote, VP, na wabunge robo tatu kweli unategemea mtu wa namna hiyo anaweza kushinda uraisi?

  Kwa waliofuatilia wanajua wazi, jamaa walikuwa wanategea tu kujua zimepungua ngapi na wabadilishe karatasi.

  Nilichoona Kenya kwa kweli hakinipi matumaini kwa Tanzania.

  Ombi tu kwa vijana ni kuachana na huu ujinga wa kuiba kura. Hawa wazee hawana muda mrefu, watakufa, sisi tutabaki na Afrika yetu ambayo kila siku ni ugomvi na migogoro tu.

  Hivi Kibaki aliyekuja kwa mbwembwe zote, leo anaapishwa kwa kujificha tena usiku? Kashindwa hata kuwaalika marafiki zake?
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hapa umekosea. Wakamba ni binamu za wakikuyu kama ilivyo kwa wameru. Uwezekano wa Raila kupata kura za wakamba kama walikuwa wameamua kumpa kibaki ulikuwa mdogo. Kitendo cha kumuacha Kalonzo kilikuwa calculated ili agawe kura za wakamba dhidi ya Kibaki. na hii imeonekana kuwa kweli. kura zote zinazopiganiwa ni za wameru na za wakikuyu hapa. Spin yako hii imedata on arrival

  Raila amemshinda Kibaki bila hata hizo kura za wakamba na namba zote zinaonyesha. Sasa ni kusubiri kuona mzee wa miaka 76 akiongoza kwa nguvu mamilioni ya makabila yasiyompenda.
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2007
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa Mtanzania,

  Unajua nimeanza kuhisi kuwa mzalendohalisi anatoa talking points kwa yule professa mkikuyu aliyekuwa akiongoea KBC au yule mtangazaji wa TVT aliyekuwepo nairobi kabla hawajakata matangazo.

  Kibaki alikataa kuachia madaraka mwaka 2003 alivyokataa cheo cha prime minister. haya ya leo ni maendelezo ya nguvu ya ufisadi ambao hautaki raila awe na nafasi serikalini maana the guy hana kashfa na ameahidi over and over kudai mali ya kenya iliyoibwa irudishwe - kitu ambacho mafisadi wengi wa kikikuyu na maofisa wa usalama waliowekwa na moi hawataki kitokee.
   
Loading...