Kibaha: Jogging ya BAWACHA yapigwa stop na Polisi

Nenda kaandamane basi ukawasaidie. Tangu mmeanza kulialia kila siku mitandaoni ni kitu gani mmefanikiw.
Una jump kutoka thread moja hadi nyingine na kuattack wachangiaji walio na mtazamo tofauti na wako dhidi ya kinachoendelea kuhusu kesi ya mbowe.
It seemingly unashida yako binafsi dhidi ya mbowe na ndiyo maana haupo tayari kuieleza hapa unahisi ukiieleza hapa watu watakushangaa ili kupungza maumivu ya moyo wako inabid u-fight On na yoyote anaepinga udhalimu anaofanyiwa mbowe
Kweli uovu hauna KWAO.
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano
😂

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
Hahaha ccm bwana.
 
Inawezekana hawajasajili hizo mbio
 
Nenda kaandamane basi ukawasaidie. Tangu mmeanza kulialia kila siku mitandaoni ni kitu gani mmefanikiw.
mataga pori unarusha miguu wakati umevaa msuli bila chupi.
2932609_download.jpeg
 
Piga mkwala tu hao. Kwenye mfumo wetu upinzani wanatakiwa kutoa mchango endelevu kwa nchi sio kupinga kila kitu uzushi na kutukana ovyo.
Kwahiyo siku hizi jogging imekuwa ni matusi na uzushi? Ina maana VIP (ambaye sasa ni rais) aliposema watanzania wawe wanafanya mazoezi naye alikuwa anashawishi uzushi na matusi?
 
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limewazuia wanawake wa Chadema kufanya mazoezi ya kukimbia wakiyahusianisha na maandamano
😂

Tunaelekea wapi? Bawacha wanaweza kuwa agenda ya kiusalama kupitia mchakamchaka? Kwamba watu wanakaa vikao wanatoka na haya maazimio au ocd anajifanyia kwa utashi wake?
Ni shida sana mpaka inakera!
 
hii ni kuendelea kudhihirisha kuwa pana mstari mdogo sana unaotengenisha kati ya ujinga na uelewa
Kielelezo kingine kwamba tz tuna dunia yetu wenyewe
 
Ni bora haya mazoezi yawepo kila mkoa tena yawe live ,tunahitaji kuwachora watu ili huko waendako waoneshwe mambo ya huku ulimwengu wa nne kwamba watokako hakuna usawa..
 
Back
Top Bottom