Kibadeni cjaona falsafa kama hiyo popote

Adebayor wa Totenham mwezi uliopita alipelekwa pia team ya watoto baada ya kiwango chake kushuka!Ni jambo la kawaida kwenye soka!

Nashukuru kiongozi ila c kwa mechi moja ndio umpeleke team b
 
Ni kweli Haruna Chanongo alicheza chini ya kiwango siku ya Yanga lakini alitakiwa apewe muda sio kuhamishwa kabisa kikosi, angemweka hata benchi, labda yapo ya ndani kabisa ambayo sisi mashabiki hatuyajui lakini kama ni hiyo mechi ya Yanga tu dogo anatakiwa arudi kikosini adhabu aliyopewa inatosha.
 
ila kwa mechi ya Azam amejifunza
 
Uvumilivu unahitanika sana katika soka letu kwani mambo mengi hayako systematic.Coach ana hofu ya wazee wa Simba,mashabiki,viongozi so unakuta anatapatapa ili mradi kujiosha.
 
uvumilivu unahitanika sana katika soka letu kwani mambo mengi hayako systematic.coach ana hofu ya wazee wa simba,mashabiki,viongozi so unakuta anatapatapa ili mradi kujiosha.

gomory una hoja
 
Ni kweli Haruna Chanongo alicheza chini ya kiwango siku ya Yanga lakini alitakiwa apewe muda sio kuhamishwa kabisa kikosi, angemweka hata benchi, labda yapo ya ndani kabisa ambayo sisi mashabiki hatuyajui lakini kama ni hiyo mechi ya Yanga tu dogo anatakiwa arudi kikosini adhabu aliyopewa inatosha.
INAUMA SANA Masuke
 
1993-2013- Ni miaka 20 imeshapita soka ni mchezo unaobadilika kila siku

Kibadeni hakupata kusimama ukocha in 20 years........

Sir Alex alikuwa kocha (wa Manutd) toka 1986 and here are the outcomes:

Premier League (13): 1992–93, 1993–94, 1995–96, 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2000–01, 2002–03, 2006–07, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13
FA Cup (5): 1989–90, 1993–94, 1995–96, 1998–99, 2003–04
League Cup (4): 1991–92, 2005–06, 2008–09, 2009–10
FA Charity/Community Shield (10): 1990 (shared), 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011
UEFA Champions League (2): 1998–99, 2007–08
UEFA Cup Winners' Cup (1): 1990–91
UEFA Super Cup (1): 1991
Intercontinental Cup (1): 1999
FIFA Club World Cup (1): 2008
 
Usifananishe mazingira ya soka ya England na hapa kwetu,nakushangaa wewe unazungumzia mafanikio aliyoyapata Simba mwaka 1993.Anatakiwa aonyeshe uwezo wake sasa sio analalamika eti wachezaji wanahujumu timu,juzi baada ya kufungwa na Azam analeta kisingizio kingine
 
Uvumilivu unahitanika sana katika soka letu kwani mambo mengi hayako systematic.Coach ana hofu ya wazee wa Simba,mashabiki,viongozi so unakuta anatapatapa ili mradi kujiosha.

Ni kweli maana hata kauli yake ya baada ya mechi na yanga ilikuwa ya woga na wala c ya ufundi
 
Usifananishe mazingira ya soka ya England na hapa kwetu,nakushangaa wewe unazungumzia mafanikio aliyoyapata Simba mwaka 1993.Anatakiwa aonyeshe uwezo wake sasa sio analalamika eti wachezaji wanahujumu timu,juzi baada ya kufungwa na Azam analeta kisingizio kingine

Eti wachezaji wagonjwa na wengine badala ya kusema akapata kigugumizi cha utu uzima aturudishie wachezaji wafanye kazi yao.
 
Jana Matola ameona ni upuuzi kwa Team Coach kupeleka wachezaji kwake kisa amecheza chini ya kiwango na amesema pia inawapa hofu wachezaji kwani wanakuwa na wakati mgumu kujua je leo niatacheza vizuri au vipi anawapa kazi mbili bila sababu yoyote.
 
Humjui Kibaden, wachezaji hawajitumi na kuna funza anaharibu Timu
 
Ni kweli simjui wala kumjua kwake haitosaidia kitu zaidi tunataka team icheze kama team na c kingine
 
Back
Top Bottom