Kibadeni cjaona falsafa kama hiyo popote

Collin

Senior Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
143
Reaction score
29
Napenda kuchukua fursa hii kutoa ya kwangu na kuweza kuelimishwa vizuri juu ya kibadeni kupeleka wachezaji kwa matola ingali yeye ndio kocha mkuu anataka kufundishiwa na mwingine?
Na ili la kusema kuwa wachezaji wamehujumu ilo c la kimichezo ni katika kulinda kibarua chake tu
Makocha badilikeni jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Tabia za wachezaji hao ni kutomuheshimu kocha. Hawataki kufuata program za mwalimu. Sasa mwalimu awafanye nini? Pelekka wao kwa watoto. Kibadeni hahusudu wanaojifanya maproo
 
sasa hata kama ni hivyo kwahiyo heshima itapatikana kwa matola?na yeye anafanya nini?
 
Kwa matola nako wakishindikana!!!Unawapeleka kwa mkopo ashanti fc, rhino au ruvu shooting!Ambako nao hawapataki mwisho unaterminate contract ..!Wanakuja kukudai millions of money.Kwann asikate mishahara??Au watafute mbinu nyingine kwan hili.
 
Nadhani ilo ndio hasa linatumika hata nchi zilizoendelea kwenye soka c hili na cjui yeye anafata mfumo wa wapi?
 
Napenda kuchukua fursa hii kutoa ya kwangu na kuweza kuelimishwa vizuri juu ya kibadeni kupeleka wachezaji kwa matola ingali yeye ndio kocha mkuu anataka kufundishiwa na mwingine?
Na ili la kusema kuwa wachezaji wamehujumu ilo c la kimichezo ni katika kulinda kibarua chake tu
Makocha badilikeni jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Huyu ameisha kuwa mzee, yafaa awe kama mkufunzi tu.
 
Nadhani ilo ndio hasa linatumika hata nchi zilizoendelea kwenye soka c hili na cjui yeye anafata mfumo wa wapi?

Adebayor wa Totenham mwezi uliopita alipelekwa pia team ya watoto baada ya kiwango chake kushuka!Ni jambo la kawaida kwenye soka!
 
Back
Top Bottom