Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.

Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.

Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.

Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?

Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.

Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.

Nawatakia Alhamis yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Swali langu dogo tu, kwa nn Marekani ni viongozi wa dini moja tu ndio wanapewa fursa pale kwenye uapisho? Ina maana hakuna dini nyingine huko Marekani?
 
Sijui sana lakini nilichoona ni kuwa Rais wa Marekani anaapa kwa kutumia katiba ya nchi. Huku kwetu Raisi anaapa kwa kutumia BIblia au Quran (Msahafu)
 
Leo mnaanza kukimbiana
Umeelewa nilichouliza?Mtu/Mbunge mmoja anaweza kuibuka na madai ya kwamba chama fulani ni wezi wa kura pasipo ushahidi wowote ule halafu mtu/mbunge huyo atumike kama kithibitisho kwa Taifa kuwa chama hicho ni wezi wa kura?
 
Rais na makamu wake walimalizia viapo vyao kwa kusema "so help me God", ukisikia "God" ni Mungu siyo dhahabu za Geita.
Huyu nyang'au yeye akisikia tu kistori anakimbia kuanzisha humu hata kama ni takataka ya uongo.
 
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.

Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.

Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.

Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?

Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.

Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.

Nawatakia Alhamis yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
So help me God, Joe Biden amesema hivyo au ulitaka aseme " mungu nisadie". Mkuu acha kupotosha.
 
Kwai
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.

Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.

Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.

Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?

Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.

Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.

Nawatakia Alhamis yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Lkn umeshajiuliza kwanini hakutjwa Mungu na siyo lazima. Siyo bahati mbaya.Sasa Anzia hapo kufahamu Joe ni mtu wa aina gani.
 
Marais wote 46 walisema hivyo?

Acha kukariri bwashee!
Ukiwa na maana Joe Biden amesema SÓ HELP ME GOD, ila sio kila Rais alisema hivyo kwenye kiapo chake?

Nimepitia, kiapo cha, Biden,Trump,Obama,Bush jr,Clinton,Bush sr, na hawa wengine sijaona ambae ameapa bila kusema mungu nisadie

28
Woodrow Wilson
Lived 1856-1924

Warren Harding

President 1921-1923

30
Calvin Coolidge
President 1923-1929

31
Herbert Hoover

President 1929-1933

32
Franklin Roosevelt
President 1933-1945

33
Harry Truman
President 1945-1953

34
Dwight Eisenhower
President 1953-1961

35
John Kennedy
President 1961-1963

36
Lyndon Johnson

President 1963-1969

37
Richard Nixon
President 1969-1974

38
Gerald Ford

President 1974-1977

39
James Carter

President 1977-1981

40
Ronald Reagan

President 1981-1989

kwa faida ya wasomaji wa JF ni Rais gani hakutaja mungu kwenye kiapo chake ? Ikitiliwa maanani wanaapa na Bíblia?. Tafadhali tuongezee maarifa,
 
Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo.

Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa Marekani.

Bado natafakari kwanini Rais wa Marekani anaapa kuitumikia Ofisi ya Rais kwa uadilifu tofauti na marais wa nchi nyingine ambao huapa kuwatumikia Wananchi kwa uadilifu.

Je, Ofisi ya Rais ndio Wananchi?

Lakini kitu kilichonifurahisha ni maneno machache yaliyomo kwenye kiapo cha Rais wa Marekani tofauti na kiapo cha Rais wa Tanzania.

Lakini nimeshangazwa kwamba Rais wa Marekani siyo lazima aseme "Ewe mwenyezi Mungu nisaidie" anapohitimisha kiapo chake.

Nawatakia Alhamis yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Utaenda kucheza draft baadaye?
 
Back
Top Bottom