Kiapo cha kunywa damu kwenye mahusiano

Kiapo cha kunywa damu kwenye mahusiano

hiyo ni kafara umetoa bila wewe kujijua .wahi kanisani mara moja ukaombewe
 
YAPO MANENO MAALUM MMOJA HUTAMKA WAKATI HILO LIKIFANYIKA!,/ MAY BE HUYO DEMU ANAYAFAHAMU.
->I inth you lady.(..),we share our bloodth.(...),seeking....so that no one.( ) could .( ).,if one betray..( )..,the betrayer lady..( ) shalt be yours...( )..with no mercy!
qui qui qui VOID VOID VOID.
*That lady is known as ARADIA.
IS A MERCILESS DARK QUEEN,ONCE IF YOU WANT TO BINDS.
 
Mahagano hayo nilikuwa nasikiaga zamani kumbe adi sasa yanafanyika
 
Wadau naomba kuuliza kuhusu hivi viapo vya damu,

Nilikutana na demu kwa muda wa wiki hivi ni kabinti kama miaka 18 ndio kwanza kanaingia form 5, siku hiyo tupo nae namsindikiza akaniomba ninunue kiwembe, sikujua cha kazi gani, baadae akaniambia anataka anichanje afu kila mtu anywe damu ya mwenzake kama kiapo nisimsaliti.

Mimi nikaona kama masihara mtoto nimemzidi miaka kama 9, anajuaje hayo mambo, tulipokaribia kwao tupo ndani ya gari tukasimama akachukua kiwembe akanikata begani akanywa damu akaniambia na mimi nimkate, nikamkata mkononi akaniambia nyonya damu, nikanyonya!

Ila kile kiwembe sikumpa asepe nacho nilikivunja nikakitupa na niliamini ni kitendo cha kawaida tu coz damu zetu hatukuzigusanisha wala kuapa kwa maneno.

Tulipomaliza akaniambia cheat uone sasa na akanipa mfano wa rafiki yake alikula kiapo kama hicho na boy wake, demu akamsaliti mshkaji saizi demu kichaaa. Lakini na mimi nafanya hayo yote nina demu wangu wa siku nyingi ingawa yupo mbali.

Huwezi amini baada ya kama wiki hivi yule demu wangu wa kweli kabisa akaanza kuzingua kapata mtu mwingine mpaka tumeachana kabisaaa, yule future wife hanitaki tena na hakuna sababu ya muhimu.

Asa sijajua mpaka sasa ni ile kuchanjana na kiwembe imefanya kazi au lah??

Na ni kweli viapo vya hivi vinafanya kazi? Mnaojua haya mambo nisaidieni....
Hakuna lolote! Mimi kuna jamaa yangu alichanjiana damu na girlfriend wake wakiwa sekondari lakini hawakuona na kila mtu ana mtu wake na hakuna madhara yoyote mpaka sasa miaka 23 imepita!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom