nakufaa....!!demu wangu bye..jf bye...magamba bye....****** bye...na wewe unayenisoma bye.
na ikibidi kuondoka basi tunaondoka na JF letu.haondoki mtu hapa
halaf mods mbona kimya leo? au tayari wametangulia?nakufaa....!!demu wangu bye..jf bye...magamba bye....****** bye...na wewe unayenisoma bye.
na ikibidi kuondoka basi tunaondoka na JF letu.
halaf leo kweli kiama, unaambiwa hata PM hupokei. khaaa!unatakiwa ukeshe ukiomba, JF hadi mbinguni?
na ikibidi kuondoka basi tunaondoka na JF letu.
bye. mia
halaf leo kweli kiama, unaambiwa hata PM hupokei. khaaa!
Mimi ntakuwa mod wa JF upande wa paradiso, huko JF upande wa jehannamu tafteni mod mwenginetena tukifika inabidi uwe mod....
hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidinimezama kwenye maombi mazto,
bye, niandalie nafasi ya mwisho ntakuja kukuhadithia yaliyotokea.
hapa kwetu dalili zimeanza kuonekana , tayari kuna muembe mmoja unapukusa majani kwa kasi ya ajabu sana. Acha nichome moto hizi dvd za porno kuuwa ushahidi