Kiama cha bomoabomoa Kibaha maili moja ni tar 23 January

Kuna usalama kweli+?
Usalama upo
0P0A9625.jpg
 
Mshana neno kiama sio zuri kwani hamna hata mtu atayekufa wala kupata jakamoyo kwa kuwa watu wote wameshalipwa fidia. Linalofanyika hapo ni jema sana maana Kibaha ilikuwa mailimoja ilikuwa imechoka sana utadhani stendi za mikoani kumbe ni km 30 toka Ikulu. Mie ni mzawa wa Kibaha naunga mkono huo mpango

Unaunga mkono kwa vile hujaathirika. Kwani fidia si upuuzi tu. Nimesikiliza kesi kibao za watu kupunjwa fidia, sasa unasema fidia nchi hii ya dhuluma
 
Kibaha ni kwetu na nina duka la nguo pale maili moja miaka Zaidi ya 10. Maendeleo lazima yaje iwe mvua iwe jua. Fidia imetolewa na watu wapishe maendeleo kukaa na viduka uchwara kama stendi za Nzega huko au Manyoni si ujanja ni umaskini. Kibaha ni sehemu yenye maendeleo duni kabisa hakujulikani wapi mjini wapi kijijini, sehemu iko karibu kabisa na jiji lakini imekaa kama Kilwa Kivinje
 
Nasema unasema hivyo definitely una maslahi na ubomoaji. wakuhamshe na duka lako toka hapo penye biashara, wasikulipe fidia tosha useme maendeleo! Wakupeleke Kongowe useme sawa maendeleo! Labda kama hauko sawa kichwani! Never on earth!
 
Mshana neno kiama sio zuri kwani hamna hata mtu atayekufa wala kupata jakamoyo kwa kuwa watu wote wameshalipwa fidia. Linalofanyika hapo ni jema sana maana Kibaha ilikuwa mailimoja ilikuwa imechoka sana utadhani stendi za mikoani kumbe ni km 30 toka Ikulu. Mie ni mzawa wa Kibaha naunga mkono huo mpango
Kiyama ni mwisho, na mshana kasema kiama cha kibaha hii tuliyo izowea ndio maana kasisitiza tupige picha ya kumbukumbu. Haaa! watu wamekimbilia kiama cha dunia mweeee, kweli elimu,elimu,elimu inahitajika sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Back
Top Bottom