Kiama cha bomoabomoa Kibaha maili moja ni tar 23 January

Kiama cha bomoabomoa Kibaha maili moja ni tar 23 January

Sababu ninini WB kugoma? halafu ile highway ya kasi ya kulipia iliyokuwa planned kutoka bandari na kupitia Tazara - - Kibamba -- Mlandizi na kutokezea Msoga nayo imefikia wapi? au wanaamini tumesahau kwani 2020 ni mbali sana?
Ile plan ipo na hata ramani yake, inapitia nyuma ya tumbi

Jr[emoji769]
 
Ile plan ipo na hata ramani yake, inapitia nyuma ya tumbi

Jr[emoji769]

Asante kwa majibu yako lakini jana ulijifunza nini kuhusu barabara hiyo inayopita nyuma ya Tumbi kutokana na mkutano wa maaskofu, Masheikh na wainjilisti walipoongea na JPM? Mie nilimsikia jamaa wa Kibaha na Mtume aliyekataa kupima DNA akiomba utaratibu wa miundo mbinu (barabara) iwe na mipango endelevu kwa miaka 50 au 100 ijayo ili isisababishe usumbufu? je unajua kuwa hii barabara inayotegemewa hapo baadae inapita kwenye himaya yake kule Bungo na watu wamekatazwa kuendeleza chochote na wakiwa hawajalipwa?
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]duuuuu

Jr[emoji769]
 
Zimebakia siku chache sana kabla matingatinga ya serikali kuingia ndani ya mji mdogo wa Kibaha maili moja kubomoa na kusafisha eneo lote tayari kwa ujenzi na uwekezaji wa kisasa ikiwemo mahoteli na majumba makubwa ya masoko stendi nk.

Watu wameshalipwa fidia na ubomoaji ulikuwa ufanyike tangu tarehe 23 November 2016 lakini ulichelewa kutokana na matatizo ya hapa na pale ambapo sasa yametatuliwa na maandalizi yote yameshakamilika na ubomoaji wa hiari kunusuru vinavyoweza kunusurika piga picha sasa ya maili moja kama kumbukumbu kwakuwa hutakaa uione Kibaha uliyoizoea.
mungu atawasaidia
 
Back
Top Bottom