Kiama cha bomoabomoa Kibaha maili moja ni tar 23 January

Kiama cha bomoabomoa Kibaha maili moja ni tar 23 January

20170123_090448.jpg
 
Zimebakia siku chache sana kabla matingatinga ya serikali kuingia ndani ya mji mdogo wa Kibaha maili moja kubomoa na kusafisha eneo lote tayari kwa ujenzi na uwekezaji wa kisasa ikiwemo mahoteli na majumba makubwa ya masoko stendi nk.

Watu wameshalipwa fidia na ubomoaji ulikuwa ufanyike tangu tarehe 23 November 2016 lakini ulichelewa kutokana na matatizo ya hapa na pale ambapo sasa yametatuliwa na maandalizi yote yameshakamilika na ubomoaji wa hiari kunusuru vinavyoweza kunusurika piga picha sasa ya maili moja kama kumbukumbu kwakuwa hutakaa uione Kibaha uliyoizoea.
Ni mwaka mmoja sasa hakuna hata msingi wa hotel wala majumba ya kifahari[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Ni mwaka mmoja sasa hakuna hata msingi wa hotel wala majumba ya kifahari[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]

Tulieni kwani mambo maazuri hayataki haraka
 
Haya sawa

Jr[emoji769]

Mshana hebu nipe za uvunguni kama wazijua je ubomoaji wa Mailimoja awamu ya pili utakaobomoa mpaka kule juu kabisa bila kuiacha ofisi ya CCM , Container Bar, Msikiti , Kellen Dispensary etc umepangwa kuwa lini?
 
Ni mwaka mmoja sasa hakuna hata msingi wa hotel wala majumba ya kifahari[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
Ni miaka miwili sasa nadhani sio mmoja mkuu.
Na hii ndii shida ya gvt yetu inakuwa mda mwingine inafanya vitu kama kwa kukurupuka, hawajajipanga.
 
Kwa walioko Dar vp jengo la Tanesco ubungo washamaliza kulibomoa?
 
Mshana hebu nipe za uvunguni kama wazijua je ubomoaji wa Mailimoja awamu ya pili utakaobomoa mpaka kule juu kabisa bila kuiacha ofisi ya CCM , Container Bar, Msikiti , Kellen Dispensary etc umepangwa kuwa lini?
Unaongelea kuhusu mita 120? WB wamepiga stop

Jr[emoji769]
 
Unaongelea kuhusu mita 120? WB wamepiga stop

Jr[emoji769]

Sababu ninini WB kugoma? halafu ile highway ya kasi ya kulipia iliyokuwa planned kutoka bandari na kupitia Tazara - - Kibamba -- Mlandizi na kutokezea Msoga nayo imefikia wapi? au wanaamini tumesahau kwani 2020 ni mbali sana?
 
Back
Top Bottom