lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!
Wengine Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesukristu, Mungu Ibariki Tanzania na As-salamu alaykum (السلام عليكم) wana jamvi wenzangu!!!!!!!!! Hope jumapili yenu ni njema!!!!!!!!!!!!!
Kwa sie wazazi na walezi bora leo ni VISITING DAY kwenye mashule mengi sana jijini. Leo bana ILINIBIDII (NA ILINIBIDI KWELI KWELI) nikamuone mwanangu mmoja hivi yuko Boarding Form 1 hapa hapa jijini katika hizi MIXTURE SCHOOLS! Huyu Aunt yangu ni mwanangu wa ubatizo pia, sasa toka kaanza F.1 January mambo yalitight kimanzi sijapata hata wasaa wa kumuona kabisaaaa. Kakawa kanitumia SMS, Simu kila hali nikakajulie hali nikawa sitilii maanani. Leo ndo ikabidi NIKAFUTE LAWAMA kabla mwaka hujaisha, nikaenda na zawadi ya SIMU MPYA kumpoooza na Madhambi yangu ya kukatelekeza.
Kifupi huyu Aunt yangu ni mtoto wa my cousin ALIMZAA F 1, MAMA MTU AKIWA 13 yrs kibahati mbaya, hivo akalelewa na watu wengi tu, mara yupo huku, mara kule, Mashallah!!!!! Saivi kadada ka 13 yrs ila MAMA yake mzazi YUKO HUKO NCHI ZA WATU!!!!!!!! Kanalelewa tu na bibi yake! Anadekezwaje sasa! Hasikiiii mtoto huyu si la Muzini wala Mnadi Swala!!!!!! Katukutu kweli kweli.
Mimi nikamuona pale, nikampa simu mpya uzuri tu, kafurahi, tumekula mapochopocho, nimekagua daftari zote (toto vivu kama nini) Nikagomba pale mpaka kaipata fresh, Ripoti nayo hairidhishi wala nini (Niandae tu hela ya kuhonga wakuu wa shule manake wastani hafikishi wala nini), nikaenda kwa Matroni nako nikakuta kesi juu ya kesi (Ikabidi NIMPOZE MATRON NA U 50 ILI ASITUNYIME NAFASI MWAKANI). KWELI WAZAZI FATILIENI WANENU SHULENI NI HATARIIII! Nikatimba hadi kwa dada wa bweni(sina masihara katika malezi kabisaaa) nako hakujakaa vizuri wala nini. NIKATOA RISALA NZITO SANA YA KIMALEZI NA KIDINI(ILIBIDI KUOMBA BACK UP JUU), MPAKA MACHOZI YAKANITOKA MWENZENU!!!!!!!! Basi kakawa kanaitikia tu nimesikia!!!!!! Saa ya kuondoka NIKAMWAMBIA ANIPE SIMU YA ZAMANI ILI ABAKI NA HIYO MPYA!!!!!!!! BASI AKANIPA KWA KIWEWE NA HARAKA ZA FURAHA!!!!!!!
Nimerudi zangu mida hii NAWAZA JINSI YA KUWASILISHA RIPOTI YA MAENDELEO KWA BIBI MTU HAPA MGONJWA WA KISUKARI, NAKOSA PA KUANZIA!!!!!!!!! Nikaamua NIIWASHE ILE SIMU NIITIE NA LINE!!!!!!!!! MTUMEEEEEEEEEE TOBAAAAAA YARABIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!! Si hakajatoa MEMORY CARD!!!!!! HIZO PICHA ZILIZOMO!!!!!!!!!!! LAANAKUM MKUBWA!!!!!!!!!!!! Hapa NATETEMEKA MWENYEWE!!!!!!!!!!!! Kuna ambayo YUPO GESTI KWENYE SHUKA NA KITOTO CHENZIE WAMEKUMBATIANA BILA NGUO!!!!!!!!!!!! Maaaaaaaaaayangu!!!!!!!!!! Toto hili!!!!!!!!! Acha za FRECH KISSES NA KUKUMBATIANA!!!!!! SINA HAMU MWENZENU!!!!!!!!!! Hizo SMS BALAAAAAAAAAA!!!!
Yaani hapa NISHAONA HUYU BASI TENA! DAWA NI KUMUWEKA VIJITI 3 TU ILI AMALIZIE HIYO F4!!! BAAAASSSSS
TUHANGAIKE NA HIZO CERTIFICATE NA DIPLOMA!!!!!!!! Khaaaaaaaaaaaaa!!!!! TIMES ARE CHANGING SO FAST JAMANIIII!!!!!! 13YRS ANALIWA UZURI TU!!!!!!!!!! Na asivo na mwili basi!!!!! Vifupa tupu!!!!!! Dont tell me to talk her, DONT TELL ME TO DO NOTHING!!!!!!! Najua CONTRCEPTIVES NI MBAYA ILA MIMBA ZA UTOTONI NI MBAYA ZAIDI!!!!!!! Akifunga shule tu Manzese Kimya kimya, DUMBUKIZA VIJITI 3, kimya kimya rudisha nyumbani maisha yaendeleee!!!!! Baaaaaaaaaass!!! SIWEZI HATA KUANZA KUSHITAKI KWA WAZEEE!!!!!!! NTANZIA WAPI!!!! TIMES ARE CHANGING FAST SO SHOULD WE I GUESS!!!!!!!!! Mungu tu AMUIPUSHIE hiyo NGOMA manake IF I COULD DO ANYTHING TO PROTECT HER NINGEFANYA!!!!!!!!
Kama ni mwanao WHAT WILL YOU HAVE DONE!!!!!!