Ki-cousin changu 13 yrs kishaanza mambo ya kikubwa, nataka nikakiweke kijiti cha uzazi wa mpango

kwanza kahamishe shule,kapeleke girls schools yenye maadili na ambayo hakawezi kuchomoka,tena next year anaingia fm 2 kwa hiyo hapo hakuna cha likizo wala nini,akae huko huko shule,hiyo simu akifungua shule tu ichukue asiende nayo shule,na pia usichoke kumpa risala
 
... Tenda wema uende zako lara 1. Mungu Atakuridishia. Bia za nini bana! Sasa wewe ndiye mwokozi wa huyo mtoto! Mungu kaisha kuweka kwenye kumi na nane zake. Usipo fanya jambo hapa, itakuja rudi kwako' hata miaka nenda rudi. Funguka lara 1!!!

Nifnyae sasa!!!!!! Kuna mtu hapa nimemueleza tutafute suluhisho, ananilaumu eti bora nisingemshirikisha!!!!!!! Nishamtumbukiza matatizoni!!!! Nifanyaje!!!! Manake akipata mimba lazima KANITAJE kama nimejua hii ishu kitambo! Nachoka mwili na roho!!!!! Haya mambo YASIKIE TU KWA MWENZIO!!!!!!! YAKIKUFIKA NDO UTAJUA!!!!!!!!
 
Mama vijiti wengne wanapata fungus unaweza mzulia balaa kubwa cha muhimu ni kufunga na kuomba halafu kamchukue mpe lecture na maombi juu halafu mpeleke shule ya single sex ya masista wa katoliki akishindikana hapo waachie walimwengu wamfunze kuliko vijiti vimzuru akose uzazi baadae na ukimwi anaweza pata,yaani hawa watoto,
 
kwanza kahamishe shule,kapeleke girls schools yenye maadili na ambayo hakawezi kuchomoka,tena next year anaingia fm 2 kwa hiyo hapo hakuna cha likizo wala nini,akae huko huko shule,hiyo simu akifungua shule tu ichukue asiende nayo shule,na pia usichoke kumpa risala

Girl School ni wazo zuri ila AKILI ZAKE 3, Wastani ataupatia wapi wa kuingia!!!!!!!! Hapo kwenyewe TUMEHONGA KAMA NINI KUPATA HIYO ADMISSION!!!!! Mimi mtaalamu wa risala ila nimempigia simu maneno yanakwamia kooni! Afu na mazingira ya kwa bibi yake yanachangia, watoto wadogo 15,16,17,18 wanaishi na makonda na vijana vijana hawa na wameshazaaaa kitambo!
 
Mama vijiti wengne wanapata fungus unaweza mzulia balaa kubwa cha muhimu ni kufunga na kuomba halafu kamchukue mpe lecture na maombi juu halafu mpeleke shule ya single sex ya masista wa katoliki akishindikana hapo waachie walimwengu wamfunze kuliko vijiti vimzuru akose uzazi baadae na ukimwi anaweza pata,yaani hawa watoto,

Acha tu Mama yangu!!! MTU ANAKUSALIMIA KUMBE MKUBWA MWENZIO!!!!!!!!! Labda nimpeleke hayo maombi, kwa masista hawezi kupata shule, uwezo wake darasani sio mkubwa!!!!! Yaaaani Mitoto hii ya siku hizi!!!!!!!!!
 
aids is real

bora umfundishe ndomu tu, hata kama anafanya na watoto wenzie.

Zitakuwa zinawalegea kama soksi wee mwishowe wanalingana nazo.

At 13? Kweli waowajo siku hizi mnakula supa yuzid.
 
lara 1, juzi ulisema cousin wako wapo vizuri kwenye hii sekta isije kua katoto kanarithi tu

Sasa ile MIDUME!!!!!!! Huyu wa kike wajameni!!!!!!! Like Mother like Daughter!!!!!! Yaani ile MIFISI inachukuaga vitoto vya SEC mi nawakanya juu juu tu, sitilii mkazo LEO YAMETUKUTA NA SIE!!!!!!!!!!! Kumbe hata vile vitoto wazazi wao wanaumia WAJAMENI!!!!!!!! Kuanzia leo naanza kuchukua hatua!!!!!!! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 
Shule kumuhamisha ada sio ishu, ISHU AKILI ZAKE 3 TU!!!!!!!! Hapo kwenyewe TUMEHONGA kichizi hadi kuingia, na tutaendelea kuhonga ili apite hivo vidato!!!!!!! Angekuwa BRIGHT tupa kwa masista huko vijijini.

sasa umenena! Kama inawezeka mwamishie shule ambayo ni madhubuti kwa kuwaepusha watoto na vishawishi: ziko shule nyingi tu, zenye misimamo dhabiti kwa watoto.
 
umesema akili zake mbili halafu umempelekea simu mpya maybe ya kisasa zaidi then what next kama sio kuburudika zaidi akiwa dom na class kwa raha zake wakati mi wa kwangu simu ataazima kwa wenzie kwangu hapati simu mpaka ajitambue,hizi simu ndo zinarahisisha uozo asikwambie mtu,think twice ripoti ya mwaka jiandae kupokea 'F' kwa kwenda mbele.
 
Pole sana lara 1,

Kama huyo mtoto angekuwa mgonjwa, basi tungesema kuwa yu mahututi na chance ya kupona ni ndogo (prognosis is poor to grave).

Sasa hivi kinachotokiwa ni kufanya jitihada ili kuokoa walau masalia kidogo badala ya kupoteza kila kitu. Kwa hiyo nakubaliana na wewe kuwa unahitaji kufanya kila njia ili ajikinge na mimba, na wakati huo ukifuata ushauri wa wadau wa kumtafutia mshauri nasaha. Hii itamsaidia kupata stadi za maisha zitakazomwezesha kufanya mambo ambayo anajua matokeo yake; na hivyo ataweza kujikinga na mimba, ukimwi na na mambo mengine ikiwemo kuchapwa mande!!

Ila nakushauri usimwambie bibi. Ongea tu na mama yake mjipange ili muweze ku-salvage kitu kidogo.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nifnyae sasa!!!!!! Kuna mtu hapa nimemueleza tutafute suluhisho, ananilaumu eti bora nisingemshirikisha!!!!!!! Nishamtumbukiza matatizoni!!!! Nifanyaje!!!! Manake akipata mimba lazima KANITAJE kama nimejua hii ishu kitambo! Nachoka mwili na roho!!!!! Haya mambo YASIKIE TU KWA MWENZIO!!!!!!! YAKIKUFIKA NDO UTAJUA!!!!!!!!

Usiogope kulaumiwa lara 1. Kuna wimbo mmoja' unasema KUNA WATU NA VIATU, ukifatilia sana, hapa kuna watu wanakushauri mzuri tu, wakumjenga mtoto, lakini wengine wanakupotosho, kufuatana na uwelewa wao mdogo. Kumbuka msemo usemao: KWENYE MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAMO!
 
umesema akili zake mbili halafu umempelekea simu mpya maybe ya kisasa zaidi then what next kama sio kuburudika zaidi akiwa dom na class kwa raha zake wakati mi wa kwangu simu ataazima kwa wenzie kwangu hapati simu mpaka ajitambue,hizi simu ndo zinarahisisha uozo asikwambie mtu,think twice ripoti ya mwaka jiandae kupokea 'F' kwa kwenda mbele.

Hahahaaaaaa! Mwanao hapati simu kabisa!!! Tulimpa hiyo simu mpyaaa nzuri na tunambadilishia mara kwa mara ILI ASIDANGANYIKE/ KULAGHAIWA NA VITU VIDOGO KAMA SIMU NA MIFATAKI HII!!!!!!! Tukasema maybe akiwa nayo ataona ni jambo la kawaida!!!!! KUMBE NDO KWANZA ANAGAWA UBUYU BURE BURE HUKO SHULE!!!!!!!! Mitoto hiii ya siku hizi!!!!!!! Basi tu!!!!!!!
 
kwanza kahamishe shule,kapeleke girls schools yenye maadili na ambayo hakawezi kuchomoka,tena next year anaingia fm 2 kwa hiyo hapo hakuna cha likizo wala nini,akae huko huko shule,hiyo simu akifungua shule tu ichukue asiende nayo shule,na pia usichoke kumpa risala

MKUU UMENENA! Big up!
 
Mfungashie Box za Kutosha za Dume Condom. Mtoto keshaonja asali lazima achonge Mzinga. Mwanaume wa kweli hutumia DUME
 
Shosti nimesoma hii story nikiwa nimeduwaa! 13 yrs washamzibua??? Kwel maji hufuata mkondo we mtundike vijiti 2 ataleta mimba kabla mwaka haujesha huu, vivulana vya 13 mbona vinapiga mimba kama kawa,ukimwacha jiandae kulea,mie nina dogolas mtoto wa mama mdogo alikuwa mapepe ka huyo wakamla mapema 4m2 na mimba juu,alitaka kuitoa nikampiga mkwara saivi mtoto ana miaka 4 na ni hb wa nguvu,chukua hatua!!
 
Mama vijiti wengne wanapata fungus unaweza mzulia balaa kubwa cha muhimu ni kufunga na kuomba halafu kamchukue mpe lecture na maombi juu halafu mpeleke shule ya single sex ya masista wa katoliki akishindikana hapo waachie walimwengu wamfunze kuliko vijiti vimzuru akose uzazi baadae na ukimwi anaweza pata,yaani hawa watoto,

Ubarikiwe sana mkuu! lara 1, yakufaa ufanye kama alivyokushauri huyu mwana JF. Ndiyo dawa.
 
Back
Top Bottom