Ki-cousin changu 13 yrs kishaanza mambo ya kikubwa, nataka nikakiweke kijiti cha uzazi wa mpango

wewe umesema ni f1,je simu ya nini umempa? unategemea aitumie kaz gan?,unalaamu hizo picha? hujamsadia .pole kwa malezi.
 
Yaani hapa NISHAONA HUYU BASI TENA! DAWA NI KUMUWEKA VIJITI 3 TU ILI AMALIZIE HIYO F4!!! BAAAASSSSS TUHANGAIKE NA HIZO CERTIFICATE NA DIPLOMA!!!!!!!! Khaaaaaaaaaaaaa!!!!! TIMES ARE CHANGING SO FAST JAMANIIII!!!!!! 13YRS ANALIWA UZURI TU!!!!!!!!!! Na asivo na mwili basi!!!!! Vifupa tupu!!!!!! Dont tell me to talk her, DONT TELL ME TO DO NOTHING!!!!!!! Najua CONTRCEPTIVES NI MBAYA ILA MIMBA ZA UTOTONI NI MBAYA ZAIDI!!!!!!! Akifunga shule tu Manzese Kimya kimya, DUMBUKIZA VIJITI 3, kimya kimya rudisha nyumbani maisha yaendeleee!!!!! Baaaaaaaaaass!!! SIWEZI HATA KUANZA KUSHITAKI KWA WAZEEE!!!!!!! NTANZIA WAPI!!!! TIMES ARE CHANGING FAST SO SHOULD WE I GUESS!!!!!!!!! Mungu tu AMUIPUSHIE hiyo NGOMA manake IF I COULD DO ANYTHING TO PROTECT HER NINGEFANYA!!!!!!!!
lara 1 umesahau, na vipi juu ya magonjwa ya Zinaa na hasa HIV: Utamvika Condom ya Kike ya Kudumu?

I think Elimu ni muhimu kuliko chochote. Haielekei kama ameshaelimishwa, so aelimishwe.

Pili Boarding za siku hizi naweza kukuhakikishia ndivyo zilivyo. Nina wanangu 2 wa kiume ambao tulikuwa tunaishi nao nyumbani i.e Day School. Ulipofika wakati wa mitihani waalimu walitulazimisha eti ni lazima wakae boarding hadi mitihani iishe. Umri wao moja alikuwa 7 years mwingine 11 years. Lahaula lakwata mambo ambayo waliyaona siku hizo chache na kuja kutusimulia yanatia simanzi. Ni bahati tulijenga utamaduni wa kuongea mambo ya kila aina kwa uwazi sana:

Tuliambiwa watoto wa kiume wanatumia dawa ya "Power shaft" eti ili uume uwe mkubwa na wakawashawishi nao watumie zinapatikana kariakoo. Pili wengi wana GF na wakawa wanamcheka mwanangu kuwa hana GF huku wakimringishia shaft kubwa.

Duuh! Mitihani ilipomalizika tu, nikawatoa haraka sana na kuwapeleka shule mbali na upeo wa macho yetu!

Si mchezo: Elimu na Ukaribu ni Muhimu: Check; Control and Balance!
 
Last edited by a moderator:
Umridhisheje wakati imaeshaota sugu kama mikono ya mwanamieleka??

Kweli mie nikigundua namtosa hata aweje lol

Hahahahaaaaaaa!!!!!!!! Kongosho VIBAYA HIVO unamsema mwanangu hadharani!!!!!!!!!!! Zambiiii!!!!!!!!!!1
 
Lara 1 nakukubali, yaani unasema kitu real kabisa kwa maisha ya leo. na hayo ndiyo mengi yanafanyika shule za Boarding hasa kwa watoto wadogo. Lesbianism, Gayism, etc. Yaani science and technolojia maliza kizazi chetu!! Na hizi simu tunawapa watoto nazo ni janga la kitaifa!!! To me simu ningeshauri mtoto akiwa anenda chuo ndipo mpe simu but not akiwa secondary.
 
Shule kumuhamisha ada sio ishu, ISHU AKILI ZAKE 3 TU!!!!!!!! Hapo kwenyewe TUMEHONGA kichizi hadi kuingia, na tutaendelea kuhonga ili apite hivo vidato!!!!!!! Angekuwa BRIGHT tupa kwa masista huko vijijini.
na form 4 necta mtahonga,...kwa nani?
 
Lara 1 hii kitu ni noma kumbe hahahahah unanikumbusha mbali sana
hapo
 
lara uandikaji wako,natamani niwe nakuona,sijui unakuwa unakunja uso au una smile?maana herufi zote unachanganya,najua nia yako ni kusisitiza point katika maelezo yako.watoto wa sasa kusema la ukweli,maybe simu zinachangia,mtoto wa primary ana boyfriend,huko sec mbona mbali.na wazazi wengine,maana nitasema kama kukimbia malezi.mtoto ana miaka 6 anapelekwa boarding school.inabidi mzazi umueleweshe mtoto kuhusu sex education bila kuona aibu,maana saa nyengine iwe isiwe atafanya tu.ki ukweli inasikitisha
Kisukari hiyo avatar yako tu imekaa kihekimahekima pamoja na busara. Imetulia, nzuri pia. Lara 1 katoa kitu hata kama sikweli, is a live picture and real. Mabadiliko yanaenda kasi kiasi tunaachwa na vinywa wazi kwani si rahisi kuyazuia. Ni sawa na kupiga ngumi ukutani. Uhuru kwa watoto ukizidi matokeo yake ni hayo. Mimi wanangu wote wamesoma shule wakitokea home, wameenda boarding kipindi cha mitihani tu basi, na namshukuru Mungu, sikusumbuka. Lara 1 pole sana. Huyo mtoto mbadilishe shule na kama kweli anakugusa, asome akitokea kwako, nina hakika atabadilika.
 
Back
Top Bottom