min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,370
Uishi miaka mingi na juhudi zako zikupe maisha mazuri zaidi.Sijui Min😔
Uishi miaka mingi na juhudi zako zikupe maisha mazuri zaidi.Sijui Min😔
Endelea kupambana kadri inavyo wezeka kwa kudra za Mungu kwa ajili ya mwanao, tegemeo na matumaini yake yapo mikononi mwako, ikutie nguvu na hamasa.Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana
100%Uishi miaka mingi na juhudi zako zikupe maisha mazuri zaidi.
🤣🤣🤣kuna siku nilikuta anakusifia siku hizi umependeza nikasema huyu To yeye angejua ni rafiki yangu huyo huyo kabadili tu jina la ID yake angecheka afe.Asante sana kipenzi,rafiki wa Manfred🥴
...HBD 🌹....Baba ?Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao:
Asante mama!
Asante Elimu
Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu)
Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana
Asante jf, Max Me,na members wake kwa ujumla
#Nawapenda sana na mbarikiwe sana wapendwa ❤️❤️🙏