Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu

Amani ndiyo msingi mkuu katika maisha yangu! Kwa hapa nilipofikia,napenda kuwashukuru hawa wafuatao:
Asante mama!
Asante Elimu
Asante Kikwete, Magufuli na Samia (mshahara huu)
Asante wanangu,maana wananitia nguvu na ujasiri kuendelea kupambana
Asante jf, Max Me,na members wake kwa ujumla

#Nawapenda sana na mbarikiwe sana wapendwa ❤️❤️🙏
Heri ya siku ya Kuzalilwa...🫡🫡🫡
 
Back
Top Bottom