Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,359
- 14,734
Fala tena..., tuwe na utu na hekimaMungu akasema mbona kazi ndogo sana hii ngoja nipige mchungaji na kila fala atawanyike.
Fala tena..., tuwe na utu na hekimaMungu akasema mbona kazi ndogo sana hii ngoja nipige mchungaji na kila fala atawanyike.
Erick ngambeki ndo nani jamaniHuyo Mwenyekiti UVCCM anaitwa "Heri James Magufuli" Katibu Mkuu Hazina anaitwa "Doto James Magufuli", Mwendazake anaitwa "Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli". . . .
huyu kijana ni hayawani mwenye asie na machoTumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.
Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.
Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.
Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.
Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?
Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
Walitaka kujimilikisha nchi hawa wajingaHuyo Mwenyekiti UVCCM anaitwa "Heri James Magufuli" Katibu Mkuu Hazina anaitwa "Doto James Magufuli", Mwendazake anaitwa "Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli". . . .
unataka na wewe wakuue ama?Wewe Punda ,shut up your fu**ken ass, nadhani wewe ndo Kheri James,hatutaki msamaha wake mbwa nyie,mmeua watu wengi sana
Hakuna Police wa kupiga wapinzani sasa hivi, Shetani yupo kuzimu [emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517]
Pamoja na huyo profesa mimachoo aliyeko kwenye profile yako [emoji2]
kwahio shida yenu ni kuupigwa ama?
Mungu alitupigania, AMENNi Mungu alituamulia maana kwa sanduku la kura aligoma kutoka.
Nani aniue wewe mbwa?Hebu Toa hiyo avatar ya maiti,swine wewe!unataka na wewe wakuue ama?
Hadi walio mpiga Lissu risasi wata jisema.Kipindi hiki watanena kila lugha. Hakika Mungu wetu ametuheshimisha sana. Miaka 5 iliyopita ilikuwa kama miaka 500. Sasa ni muda wa wapuliza zumari kukipata cha moto.
Namzungumzia huyo Dogo Heri aliyekua amelewa madaraka kwa kivuli cha mjombaNani analia?
Hebu fanya huo ubaya ukione cha moto aliyekuwa anawapa kiburi amekufa shenz nyie
Ni kweli ni kipindi kigumu cha maombolezo na wasiwasi mkubwa wa yaliyo mbele yenu mliokuwa mwamtumaini Goliath.sasa si amesema wameshakua sugu ama? tatizo la wapinzani wanajikutaga wajuaji sana ingawa sio wote, hawa wanawake wa uku wanajikutaga kama wanajikuataga wajuaji sana, sasa yeye anatuambia amekua sugu ili iweje? kwamba aendelee kupata kichapo si ndo maana yake? badala ya kuraise concerns ya kutoshirikiana nae ama kushirkiana nae ama kuchukua hatua wanatuambia wamekua sugu,
-
si bora ccm iendelee kwa miaka ingine 60
Wewe nae walewale, ungewashauri wenzio wakiri makosa kipindi baba yao yupo tungejua wana nia ya dhati, hizi ni hadaa.wakipewa kichapo mtandaoni oooh sjui uonevu unaofanywa na ccm, mara sjui ICC haya mtu ameamua kukiri makosa wanasema wamekua sugu what do you expect
Nani aniue wewe mbwa?Hebu Toa hiyo avatar ya maiti,swine wewe!
Mmh?rais wenu tena wakwenu alikua jiwe tu alisemaa msinichanganyie ??? Huyo aliopo Sasa niwawote kwamujibu wakatibaHivi wewe mtoa mada na wenzio ni mna matatizo ya akili au ni uyatima wa siasa unawasumbua.
Kila mtu akiandika nyuzi ni kulopoka lopoka tu mamaaa mamaa....sasa kati ya wewe na henry james nani ni mtoto halisi wa huyo mnaemwita mama.Mwenzio anayo namba yake na anamtext sasa wewe mwenzangu na mie hata mtandao anaoutumia huujui na bado unajivimbisha mashavu.
Embu tutoleeni ujinga wenu wa kukuita Rais wetu mamaaa mamaa utafikili mpo mayatima wa siasa.