Kheri James, achana na sisi kabisa

Kheri James, achana na sisi kabisa

Pitia hapa chini utapata maelezo.


Hakyanani daaaah
 
sasa si amesema wameshakua sugu ama? tatizo la wapinzani wanajikutaga wajuaji sana ingawa sio wote, hawa wanawake wa uku wanajikutaga kama wanajikuataga wajuaji sana, sasa yeye anatuambia amekua sugu ili iweje? kwamba aendelee kupata kichapo si ndo maana yake? badala ya kuraise concerns ya kutoshirikiana nae ama kushirkiana nae ama kuchukua hatua wanatuambia wamekua sugu,
-
si bora ccm iendelee kwa miaka ingine 60
Angalieni hili litakataka

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ale kauli zake mjomba hayupo.Waligeuza chama mali ya familia.
 

Attachments

  • VID-20210329-WA0017.mp4
    13.4 MB
  • VID-20210329-WA0022.mp4
    776.1 KB
  • VID-20210329-WA0021.mp4
    806.9 KB
  • VID-20210329-WA0020.mp4
    1.6 MB
  • VID-20210329-WA0019.mp4
    315.9 KB
Yaliyotokea tanzania tarehe 17.3.2021 ni historia. Sasa kila mtanzania ajifinzie hapo.
... natamani Machi 17 kila mwaka iwe ni siku maalumu ya KUTAFAKARI - tulikotoka, tulipo, na tuendapo; iwe ni kwa mtu binafsi, taasisi, na serikali kwa ujumla wake. Sio mapumziko, iwe tu kama zilivyo siku ya wanawake, siku ya ukimwi, siku ya vyombo vya habari, siku ya sheria, n.k.
 
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.

Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.

Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.

Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.

Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?

Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
Its time to pack
JamiiForums-1601266895.jpg
 
Waliochangia radhi ya Mungu kwa Magufuli moja wao ni huyu kenge. Bogus kabisa.
 
Back
Top Bottom