Kheri James, achana na sisi kabisa

Kheri James, achana na sisi kabisa

Screenshot_20210329-135611_1.jpg
 
Hivi wewe mtoa mada na wenzio ni mna matatizo ya akili au ni uyatima wa siasa unawasumbua.

Kila mtu akiandika nyuzi ni kulopoka lopoka tu mamaaa mamaa....sasa kati ya wewe na henry james nani ni mtoto halisi wa huyo mnaemwita mama.Mwenzio anayo namba yake na anamtext sasa wewe mwenzangu na mie hata mtandao anaoutumia huujui na bado unajivimbisha mashavu.

Embu tutoleeni ujinga wenu wa kukuita Rais wetu mamaaa mamaa utafikili mpo mayatima wa siasa.
 
sasa si amesema wameshakua sugu ama? tatizo la wapinzani wanajikutaga wajuaji sana ingawa sio wote, hawa wanawake wa uku wanajikutaga kama wanajikuataga wajuaji sana, sasa yeye anatuambia amekua sugu ili iweje? kwamba aendelee kupata kichapo si ndo maana yake? badala ya kuraise concerns ya kutoshirikiana nae ama kushirkiana nae ama kuchukua hatua wanatuambia wamekua sugu,
-
si bora ccm iendelee kwa miaka ingine 60
Washenzi nyie ,amekufa mungu wenu aliyekuwa anawapa kiburi kwa Samia mtazima fegi nyambafu ninyi
 
Anatakiwa afungwe huyo mpuuzi haraka sana
Ni binadamu mwenzako usimuombee mabaya, tusameheane Mungu anatutaka hivyo...
Kheri ni kinyago kilichoundwa na ''mtozi' wa Star tv kupitia vipindi vyake kadhaa vya mahojiano.
Pia Kuna uzi humu ndani ukieleza uhusiano wake wa kifamilia na Jiwe
Pamoja na hayo siyo vyema kuhukumiana kwa ubaya.... Ubarikiwe
 
Huyu alisema m"anayedai Magufuli hajafanya kazi asubiri ashufughulikie wake zao, wapate mimba "
sina hamu naye
Ni sawa ila hakuna binadamu aliyekamilika....
 
Back
Top Bottom