Kheri James, achana na sisi kabisa

Kheri James, achana na sisi kabisa

Walitushinda kwa mitutu ya bunduki na usalama wa taifa. Mungu akasema mbona kazi ndogo sana hii ngoja nipige mchungaji na kila fala atawanyike. Hili Ni funzo kuwa siku moja Mungu ataamua kuitoa CCM mwenyewe,na sisi tutanyamaza kimyaaa tukiangalia. Na CCM na usalama wao wa taifa hawatoamini. Halaf hesabu itaanza kupita,kila mtu atalipwa kwa ubaya wake
 
Nilijua utaleta kauli chafu kama hii

sasa si amesema wameshakua sugu ama? tatizo la wapinzani wanajikutaga wajuaji sana ingawa sio wote, hawa wanawake wa uku wanajikutaga kama wanajikuataga wajuaji sana, sasa yeye anatuambia amekua sugu ili iweje? kwamba aendelee kupata kichapo si ndo maana yake? badala ya kuraise concerns ya kutoshirikiana nae ama kushirkiana nae ama kuchukua hatua wanatuambia wamekua sugu,
-
si bora ccm iendelee kwa miaka ingine 60
 
wakipewa kichapo mtandaoni oooh sjui uonevu unaofanywa na ccm, mara sjui ICC haya mtu ameamua kukiri makosa wanasema wamekua sugu what do you expect
Kwahiyo turuhusu watu wanyanyase wengine kadri wanavyojisikia kwasababu tu tukijua tutaomba msamaha natutasamehewa?

Tuwe wakweli Hery James ameomba msamaha baada yakugundua kinga yake haipo tena hivyo hakuna atakaye support ujinga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.

Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.

Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada yaM kuapishwa.

Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.

Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?

Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
Mainformer wa jiwe na kuendeleza ukatili. Tupatie Aloyce Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda, Yule Diwani wa Hananasif, na wote ulioteka na kuua. Seriously tunahitaji miili ilitoweshwa tuizike. We Heri ni dubuasha ambaye hutakaa upumzike vizuri trust me.
 
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.

Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.

Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.

Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.

Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?

Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
 
1617031020709.jpeg
 
Kwahiyo turuhusu watu wanyanyase wengine kadri wanavyojisikia kwasababu tu tukijua tutaomba msamaha natutasamehewa?

Tuwe wakweli Hery James ameomba msamaha baada yakugundua kinga yake haipo tena hivyo hakuna atakaye support ujinga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

ok sawa ameomba msamaha, hizi kelele za sjui tayar mmekua sugu znamaanisha nn?? kwamba kipigo kiendelee ama
 
Hawezi kulipa gharama alizopelekea,
Vifo,
Kutekwa,
Ajira za upendeleo kwa UV ccm wenzake

He can compensate NOTHING.
 
Back
Top Bottom