Kheri James, achana na sisi kabisa

Kheri James, achana na sisi kabisa

Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.

Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.

Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.

Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.

Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?

Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
Erick Ngambeki atulie tu dawa imuingie.
 
Yaliyotokea tanzania tarehe 17.3.2021 ni historia. Sasa kila mtanzania ajifinzie hapo.

Mimi nimejifunza:-

1. Dunia Mapito
2. Tenda Haki.
3. Bwana asipoulinda mji wake walindao wanakesha bure.....(Wale Wahutu wenye silaha,Jammer,ambulance DR kama wote etc)
4. Kutesa kwa zamu
5. Yatima Hadeki.
6. Hakuna marefu yasiyokuwa na Mwisho.
7. Muosha huoshwa.
8. Kiburi si maungwana.
9. Sisi wote ni wa mungu na kwake tutarejea.
10. Cheo ni Dhamana.

Jammer.jpeg

ULINZI.jpg
 
Walitushinda kwa mitutu ya bunduki na usalama wa taifa. Mungu akasema mbona kazi ndogo sana hii ngoja nipige mchungaji na kila fala atawanyike. Hili Ni funzo kuwa siku moja Mungu ataamua kuitoa CCM mwenyewe,na sisi tutanyamaza kimyaaa tukiangalia. Na CCM na usalama wao wa taifa hawatoamini. Halaf hesabu itaanza kupita,kila mtu atalipwa kwa ubaya wake
Malipo ni hapahapa duniani
 
Hivi nyie mapungazeze mnavojitia kimbelembele kuwa henry james kawaomba radhi ni wapi mwenyekiti wa jumuiya kubwa ile akae awaombe radhi nyie visokolokinywo.

Henry james kwa upana wa ile press alioifanya alikuwa anazungumza jinsi ya kumuunga mkono SSH ambaye kikatiba ya chama sasa ni mwenyekiti wa chama katika kutimiza ilani ya chama na kuangalia namna ya kutekeleza mambo yahusuyo vijana.

Sasa suseni muone kama mama SSH atafanya kazi na uvccm au nyie bavicha mayatima wa siasa mliotelekezwa.
 
Unateseka ukiwa wapi Blo'angu
 
Tumeshakuwa sugu wa kutekwa,kufungwa,kupigwa,kubambikwa kesi na kuuawa,hayo ndo maisha yetu wapinzani wa Tanzania.

Kheri James wakati Magufuli akiwa hai ulisimama hadharani kwa ujasiri mkubwa ukasema huku Taifa na Dunia wakishuhudia,ulisema kwamba,sasa hivi Tundu Lissu mtamchoma sindano ya sumu ndo kilichobakia.

Baada ya Mungu kumchukua Magufuli, hofu imekujaa,unajiona wazi huna kinga hasa baada ya Mama yetu kugoma kukujibu sms mbili ulizomwandikia kumpongeza baada ya kuapishwa.

Mama anakujua nje ndani, hakupenda kabisa Tabia zenu za kikatili vijana wa UVCCM jinsi mlivyokuwa mnawa treat wapinzani kama wanyama.

Tuliwaonya sana kuwa kuna kesho lakini hamkusikia,eti leo unataka maridhiano, na nani?

Endelea ulipoishia na wenzako,sisi mtuache na maisha yetu.
Kuna vifo vinafurahisha sana aisee, hasa akifa Nduli
 
Akamuombe Msamaha au Wakaombane Misamaha na Mjomba wake aliyelala Usingizi wa Milele kwa Dhambi zao ambazo zimesababisha wasio na Nguvu wala Mamlaka kumuachia na Kumshtakia Mwenyezi Mungu ambaye nae pia bila Ajizi Katuondolea ghafla Katili na Sadist wa Kiwango cha Kimataifa.
 
Mama yetu kipenzi rais wetu mpendwa hizi takataka achana nazo kabisa ujue yaliyotokea tarehe 17/3/2021 ni uamuzi wa Mungu kututetea cc watoto wa kambo wa enzi zile.
 
Huyu alisema m"anayedai Magufuli hajafanya kazi asubiri ashufughulikie wake zao, wapate mimba "
sina hamu naye
unajua uongozi wa magu wengi walifanya kazi kimuhemuko msisahau jamani pia..wengi walikchizika na akili kidgo siwalaumu hao machizi...wengi walikuwa bendera fata upepo na bado tutayaona mengi mwaka huu mpaka miaka minne iishe sio leo jamani
 
Acha umburula wewe, ulijuaje. Mwenyekiti asijibiwe meseji umewahi kusikia wapi au na wewe ni Kigogo

Back
Top Bottom