Khaah!! Haya majaribu jamani

Khaah!! Haya majaribu jamani

Joined
Oct 31, 2017
Posts
26
Reaction score
35
Salaaam,

Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu komoja wapo nchini,Ndo nimeingia mwaka wa tatu msimu huu

Sasa juzi tumeripoti chuoni tayari kwa muendelezo wa masomo 2017/18, Kwa kiasi fulani nimefurahi tena kurudi chuoni maana nimepata kuonana na marafiki wengi tulioachana baada ya likizo ndefu ya takriban miezi mi4

Sasa bhana juzi nlikutana na Anita mazingira flan around na chuo, tulipiga stor mbili tatu kisha tukaagana ila mda tukiachana Anita aliniita na kuniomba namba zangu za simu, bila shida me nkampatia.(Anita ni mwanafunzi mwenzangu mwaka wa 3,sisi ni marafiki tu)

Ikiwa imepita kam siku tatu tangu nimpe Anita namba zangu, sasa juzi amentafuta kwa njia ya SMS, bas tukasalimiana na kujuliana hali kwa njia hio ya kuchat,, ila katika uko kuchat chat Anita akaanza kuniambia ye ayupo vizur, kumuuliza kwa nin akasema tayari ameishiwa pesa za matumizi,,,, nikamuuliza kivipi huishiwe pesa wakati juzi tu umepokea Boom(Fedha kwa Makazi na malazi kwa wanafunzi) , et akasema amemtumia kaka yake nyumbani watanue biashara yao,, me nkaona stor nying ikabid nimuulz sasa nkusaidiaje, Anita akasema naomba nimkopeshe japo laki 1 af kaka yake akimrudishia na mimi atanirudishia ela yangu,, me nkaelewa ila nkamwambia ufanye anirudishie mapema pale akipata io fedha,, sasa apo ndo kilikuja kizaazaa, et Anita akanijibu "ATA NKISHINDWA KUKULIPA, Afu NKAKUPA KITU KITAMU, SI UTANISAMEHE?

me Mpaka sasa sjajibu io txt maana kwanza sjajua iko kitu kitam ni kipi

Nani anaweze kunielekeza apo
[HASHTAG]#HiiKituNiReal[/HASHTAG]
 
Huyo ni muuzaji, ukitoa hiyo laki haitakaa irudi, kama unazo we mpe 50 ambayo uichukulie kama umetoa sadaka.
Kuhusu kupewa hicho kitu kitamu wewe ndio utajua kama ukipokee au la.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom