Mimi...!
Jamani jamani....a a...
niliyoyashuhudia mapangoni kule Amboni kwa kweli tunahitaji gym....nani anajitolea kuwa instractor.....?
Madame B kachemka huko?
Mimi...!
umeshuhudia nini hebu tupe kwa kifupi tu mpaka ukafikia hatua ya kuona GYM inahitajika??
watu hawana pumzi ya kutembea muda mrefu na kupanda vilima vya hapa na pale nini?
Nyani Ngabu, njoo huku nimekutaftia tender. Ila tukubaliane mie silipi.
hahahahaha uliposema njia nyembamba basi nimekusoma Dar wing si mchezo na hapo hakuja gfsonwin cacico, snowhite na wengineo fully afya.... mwendo wa noah na dompo
Na mie mbona hujanitaja..Nataka wewe uwe instructor wangu..am serious ujue..
hahahaha we huhitaji gym ila kama ni mazoezi ya kawaida tu kujiweka fit karibu sana... any time