Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,887
- Thread starter
- #41
Ni kweli gym muhimu kwa afya,,
Hapa kama sio kuchomeana, ningeweka picha yangu muone naonekanaje!
cherst
Back
Showder
Mkono wa nyuma
Mkono wa mbele
Six backs
Miguu
ki kweli napendeza sio siri.
mkuu...cherst na six backs ndio maeneo gani ya mwili....?