connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,775
- 3,842
- Thread starter
- #21
KFC Mpanda Branch Manager Vacancy
Wanyonge......hili neno huwa silipendi basi tuMgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao.
P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
DuuhWafipa waache kula migebuka na kuhe wakale junkie food za KFC
KFC ni kwa huku Adrics ndio inapapatikiwa, kule kwao hio ni migahawa ya watu masikiniMgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao.
P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.