Utitiri wa vyama hauwezi kwisha kwani ni njia ccm wanatumia kuwaonyesha dunia/wafadhili waone kuna demokrasia.Nia ya serekali ya CCM ni kutaka kuvinyonga vyama vyote vya upinzani lakini katika harakati zake za kutaka kuviua vyama vya upinzani,itajikuta ina ibua chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kubwa zaidi ya hivi vilivyopo, kwa kuwa sio wote watakao kubali kujiunga na CCM baada ya vyama vyao kuuawa,wataamua kujiunga na Chama kimoja cha upinzani ambacho kitakuwa na nguvu kubwa na kumaliza utitiri mkubwa wa vyama vya upinzani vilivyopo hivi sasa.
Huu utitiri wa vyama ni vyama pandikizi na vinacheza ngoma ya ccm.