Kete ya mwisho ya Maalim Seif ni kuunda chama kipya cha Siasa!

mkuu ilikuwaje ccm ikapata wabunge wengi ili hali alishinda lowassa?

Mkuu nazungumzia Znz, kumbuka uchaguzi halali ulifutwa. Kwenye kura za ugombea wa muungano Lowassa ndiye aliyeshinda.
 
Atengenze chama chake kingine with the Plans for 2025 maana figisu figisu mpka za kusajiliwa kwa 2020 hataweza, Ila option 2 umri itakuwa kikwazo kwake.
Msajiri huyu anayetumika kama toilet paper unadhani atakubali kukisajiri?
 
Nyinyi Chadema mnaojifanya cuf tunakujuweni. Ambalo hamlijui ni kuwa hiyo Chadema ni chombo tu kinachotumiwa na Wachaga kwenye safari ya kuingia Ikulu. Kwa hivyo wale wote ambao ni makabila mengine ndani ya Chadema ni kondoo wa kafara tu. Ushahidi wa hilo, nini kilimtokea Zito baada ya kufanikisha kuingiza wanachama wengi mno ndani ya Chadema? Alifukuzwa. Bob Makani alitengwa pembeni mpaka leo jina lake limeshasahaulika. Katibu Mkuu wa sasa tayari wanamchimba kwa vitimbi mbali mbali ili audhike na aachie uongozi. Huyo Tundu Lisu walimpeleka kygombea uraisi TLS ikuwa ni kauzibe asije kugombea uraisi 2020 wa uenyekiti wa Chadema Taifa. Kwa taarifa yenu sisi wenye cuf ni tulushawashtukia njama zenu mda mrefu na ndio sababu kila mkijaribu kutoboa ukuta wa cuf drill yenu inakatika. To hell with your dirty games.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba Team at his best.
 
KUUNDA CHAMA KIPYA ITAKUWA NGUMU KWA OFISI INAYOSAJILI VYAMA VYA SIASA!
Ilishasemwa watolewe... kisha washughulikiwe wakiwa nje! Maalim anapaswa kusubiri mpaka kila mmoja ashuhudie nyeti za polopesa zinavyopepewa na upepo. Ndipo uje ule mwisho usiopendwa na watawala!
 
Afanye hivi aanzishe chama kwa jina hili Civic United fron asilia
Kwanini aanzishe chama kipya ilhali vyama pinzani vipo tayari vimeshaundwa. au ndio ziwe akili kama za International Space Station ilhali limwezi lipo tu wala halihitaji gharama zaidi ya safari!
 
Hahahahahaaaa mbna maalim chadema kitambo n yupo kuipigania chadema huku akikiua chama kwa kukiuka miiko ya chama na kufanya kila kitu kukipoteza chama prf alipisha akiwacha wafubwazikane katika uchaguz mkuu lakin alipoona juhud alizozifanya kiifikisha cuf pale ilipo aliona kuna haja ya kukirudia kiti ili kuiimarisha cuf cha ajab wanacdm mkishirikiana na wajinga wachache mmeamua kuingilia hil na kifanya haya mamb kama vile kila mwna cuf anafurahia ujinga wa mzes wa kususa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalimu hawezi kuwaachia wahuni chama, CUF bara ni justification ya kisheria tu, CUF ipo Zenji. Maalim komaa na hawa wahuni, hawana pumzi.
 
Kuhusu Seif Sharif, huyu tayari Allah anamfedhehesha kutokana na uchafu wa matendo yake ya kishetani ambapo mengi ya matendo hayo yako kinyume na maadili/maamrisho ya dini zote. CUF ilianzishwa kwa Kumueka mbele Mwenyezi Mungu ili Akibariki, kwa sala za dini zote chini ya Mhe. Mapalala na Mhe. Shaaban Mloo. Mwenyekiti mapalala, kabla ya kufungua kikao au mkutano wowote, kwanza alikuwa akimtaka kila mtu aliehudhuria kikao hicho aombe kwa dini yake. Lakini kumbe nyuma ya pazia, Seif Sharif alikuwa akifanya mambo ya liwati (Sodomo na Gomorrah), na mpaka ss hv bado hajaamua kutubia kwa Mwenyezi Mungu. Jambo hili, wengi wenu hamuamini kuwa amekuwa analifanya, kwa hivyo naomba mumuambie achukue udhu kisha aape kwa Yamini ya kiislamu kama atathubutu. Baahati yake Allah amekuwa akimsitiri bila kumuadhirisha. Naomba mjue kuwa Allah akiamua kumfedhehesha mja wake, hata watu wote duniani waamue kumkinga na fedheha/adhabu ya Allah hawataweza kumkinga. Wakati umefika kwa Seif Sharif kuacha siasa za majitaka na akae pembeni kwa maisha yake yaliobaki akimuamba Allah amsamehe. Wabillah Taufyq.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nia ya serekali ya CCM ni kutaka kuvinyonga vyama vyote vya upinzani lakini katika harakati zake za kutaka kuviua vyama vya upinzani,itajikuta ina ibua chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kubwa zaidi ya hivi vilivyopo, kwa kuwa sio wote watakao kubali kujiunga na CCM baada ya vyama vyao kuuawa,wataamua kujiunga na Chama kimoja cha upinzani ambacho kitakuwa na nguvu kubwa na kumaliza utitiri mkubwa wa vyama vya upinzani vilivyopo hivi sasa.
Na hiyo ni mojawapo ya kazi ya chama tawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotoa mada acha "kujaji" sijui fake prof(njaa), unakuwa tayari umepoteza taswira ya andiko lako kwa kuwa unakuwa tayari umeegemea upande mmoja, upande wa 'sabwaa'... 'sabwasabwaaa' na kuonekana kama unatumika kwa kutumiwa.
 
Back
Top Bottom