Kete ya mwisho ya Maalim Seif ni kuunda chama kipya cha Siasa!

Nia ya serekali ya CCM ni kutaka kuvinyonga vyama vyote vya upinzani lakini katika harakati zake za kutaka kuviua vyama vya upinzani,itajikuta ina ibua chama kimoja cha upinzani chenye nguvu kubwa zaidi ya hivi vilivyopo, kwa kuwa sio wote watakao kubali kujiunga na CCM baada ya vyama vyao kuuawa,wataamua kujiunga na Chama kimoja cha upinzani ambacho kitakuwa na nguvu kubwa na kumaliza utitiri mkubwa wa vyama vya upinzani vilivyopo hivi sasa.
Utitiri wa vyama hauwezi kwisha kwani ni njia ccm wanatumia kuwaonyesha dunia/wafadhili waone kuna demokrasia.

Huu utitiri wa vyama ni vyama pandikizi na vinacheza ngoma ya ccm.
 
MAALIM ni brand ya cuf.Sasa akiondoka cuf hali itakuaje? Mapalala yuko wapi? Ilikuaje ajitoe cuf? Ni bora maalimu angeshauriwa astaafu siasa tu kuliko kumshauri aanzishe chama kipya.Wapo wanasiasa waliviacha vyama vyao vya awali walikokuwa wanavuma sana na kwenda kuanzisha vyama vingine lakini walijikuta wanafifia taratibu kisiasa na kuishia kabisa.Kete ya mwisho ni kupumzika siasa tu.
 
Mzalendo,

KWa hakika unalosema ndilo sahihi. Na kiusahihi ni kwamba hata jina CUF ni kweli halipo na jina jipya tu lakini watu ni walewale ambao chama hiki kinaanzishwa kiliitwa KAMAHURU.

Hakuna tofauti kati ya mzozo wa sasa na ule wa mwaka 1994 ambako Sief alifaulu kumng'oa madarakani James Mapalala.

Vilevile ikumbukwe kwamba hata KAMAHURU na CUF havipo bali kilichopo ni chama kitwacho HIZBU ambacho hata ufanyeje miaka 100 iyajo kitaendelea kuwepo. Maadamu wenye asili ya urabuni wataendelea kuwepo, tena wametamalaki kule Pemba, hamna namna ya kuondokana nao.

Kumbuka kwamba jaribio la kuizima HIZBU lilifanyika January 12, 1964 kwenye mapinduzi na HIZBU ikakaa nje ya siasa hadi mwaka 1992 ilipoibuka kama KAMAHURU na baadaye CUF.

Hivyo, HIZBU ni kama kinyonga, ikumchokoza hapa anageuka rangi na anaendelea kuwepo. KWa ujumla si rahisi kuifuta HIZBU, tena kinachoonekana ni kwamba HIZBU inapata wafuasi kutoka kwa waliokuwa ASP kuliko mtu kutoka HIZBU kuja ASP ambayo sasa inajiita CCM.

Ikumbukwe kwamba ilibidi Julius Nyerere amwite Seif Sharif Hamad pale Msasani na wala hakuitwa Lipumba au yeyote unayemdhani. UKwlei huu ulimsinda Julius Nyerere kwa miaka 28 hakuna mtanzania atakayeuweza.

Cc: Aipolo, Motochini, Mzalendo2015, Sibonike, Allen Kilewella, goggles, gama, wateule, Lothlema
 
To be frank, kwa siasa za Visiwani ni ngumu sana kwa CHADEMA kumbeba Maalim Seifu.
Ushahidi wa hili ni Uchaguzi wa 2015, angalia CUF alipata majibo mangapi na CHADEMA walipata majimbo mangapi under UKAWA.

Usitake kupotosha wala kuchanganya mambo hapa. Hiyo 2015 cuf na cdm zilishiriki uchaguzi huo ndani ya ukawa na huko visiwani cdm waliachiwa nadhani jimbo moja alilokuwa Salim Mwalimu basi. Na mgombea wa urais kwa tiketi ya muungano huko visiwani alikuwa ni Lowassa na yeye alipata kura nyingi kuliko hata Magu. Kwa sasa iwapo Cuf waligoma kushiriki uchaguzi wa marudio ni wazi wameshapoteza sana, hivyo wamuache Lipumba atambe kupitia mgongo wa serekali kwa muda mfupi sana. Inafahamika Cuf ya Seif ndio yenye nguvu kwa wananchi hivyo uchaguzi ujao Lipumba atabaki na ofisi tu kwani uwezo wa kupata kura hana, na hilo analifahamu. Hata haya mapendekezo ya Seif kuhamia cdm wanaccm hawayapendi maana wanajua Lipumba hana watu, na iwapo Seif atahamia cdm sasa itaimarika zaidi kwani itakuwa na nguvu bara na visiwani.
 
Huu mgogoro unaofukuta ndani ya CUF kwa ugomvi kati ya Katibu Mkuu halali wa CUF Mhe. Maalimu Seifu na Mwenyekiti fake Prof(njaa) Haruna Lipumba umelenga kuimaliza CUF kisiasa.
Kwa msaada wa Serikali na vyombo vya ulinzi na Usalama CUF halali lazima iangamie ili isiendelee kuisumbua CCM ya Serikali ya Awamu ya 5. Figisu zote zinazoendelea lengo ni Maalimu Seifu na lazima amalizwe kisiasa kabla ya 2020!!

Serikali wanajua kabisa kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2015 Maalimu Seifu alishinda kwa kishindo na kama Uhuru,Haki na Demokrasia ya kweli vingetamalaki na kuzingatiwa na ZEC hivi leo Maalimu Seifu angelikuwa yuko Ikulu ya Zanzibar akiongoza Visiwa vya Marashi ya Pemba.

Kwa hali inavyoelekea imebakia kete moja tu kwa Maalimu Seifu ambayo itamwokoa kisiasa nayo ni KUANZISHA CHAMA KIPYA CHA SIASA. Lazima CUF halali wajifunze kwa Wapinzani Kenya kina Raila Odinga, William Ruto, Uhuru Kenyata na wengineo. Kwamba jina la Chama sio hoja. Leo hakuna KANU tena wala ODM badala yake tuna JUBILEE na NASA na siasa zinakwenda! Jambo la msingi hapa ni WATU au UMMA ulio nyuma yako. Nina hakika kama Maalimu ataondoka leo na kuachana na CUF ambayo Lipumba ameamua kuisambaratisha na kuunda Chama kingine kwa Jina lolote kwa ajili ya kuwakomboa Wazanzibari na Wazanzibara toka utawala kandamizi wa CCM umma wote utakuwa nyuma yake.

Kwa kufanya hivo Wabunge wote wa Kuchaguliwa CUF watakuwa wamepoteza uanachama wa CUF kama wale wa kuteuliwa(Special Seats) walivyopoteza juzi baada ya kutimuliwa na CUF ya Lipumba. Kitakachofuata ni Tume ya Uchaguzi kuitisha Uchaguzi na Wabunge wote wa Kuchaguliwa CUF watarudi Bungeni kwa jina la Chama kipya na ushindi mkubwa. Kwa mtaji huo CUF ya Lipumba watakuwa hawana Wabunge wa Kuchaguliwa na kwa mantiki hiyo hawatakuwa na Wabunge wa Viti Maalumu na hawatakuwa na RUZUKU tena.CUF watabaki na Lipumba na Sakaya na ndiyo itakuwa hitima ya CUF Tanzania.
Issue itakuwa hicho chama kupata usajili. Kama wameamua kumchinjia baharini watamfuata huko huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mnachekesha nyie
toka 2015 tunaitafuta 2018
Bado mnangonjera za Uchaguzi wa 2015!!
Kweli Kuchanganyikiwa nako ni Ugonjwa hatari!!

Mtamuelewa Lipumba kwa nini kaitwa Profesa
Kwa nn hushangai ngonjera za mapinduzi ya ccm tokea 1964 hadi leo?
 
Kuna kitu huelewi!! Wameshazuiaa kuanzisha chama kipya au hata kutoa vibali vyama siasa tena!! Bajeti hiyo hakuna!! Wameshajipanga kumpoteza Maalim......karata yake mwisho kujiunga na CDM kwa hasira zote na nguvuzotee!!!!
Huu mgogoro unaofukuta ndani ya CUF kwa ugomvi kati ya Katibu Mkuu halali wa CUF Mhe. Maalimu Seifu na Mwenyekiti fake Prof(njaa) Haruna Lipumba umelenga kuimaliza CUF kisiasa.
Kwa msaada wa Serikali na vyombo vya ulinzi na Usalama CUF halali lazima iangamie ili isiendelee kuisumbua CCM ya Serikali ya Awamu ya 5. Figisu zote zinazoendelea lengo ni Maalimu Seifu na lazima amalizwe kisiasa kabla ya 2020!!

Serikali wanajua kabisa kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2015 Maalimu Seifu alishinda kwa kishindo na kama Uhuru,Haki na Demokrasia ya kweli vingetamalaki na kuzingatiwa na ZEC hivi leo Maalimu Seifu angelikuwa yuko Ikulu ya Zanzibar akiongoza Visiwa vya Marashi ya Pemba.

Kwa hali inavyoelekea imebakia kete moja tu kwa Maalimu Seifu ambayo itamwokoa kisiasa nayo ni KUANZISHA CHAMA KIPYA CHA SIASA. Lazima CUF halali wajifunze kwa Wapinzani Kenya kina Raila Odinga, William Ruto, Uhuru Kenyata na wengineo. Kwamba jina la Chama sio hoja. Leo hakuna KANU tena wala ODM badala yake tuna JUBILEE na NASA na siasa zinakwenda! Jambo la msingi hapa ni WATU au UMMA ulio nyuma yako. Nina hakika kama Maalimu ataondoka leo na kuachana na CUF ambayo Lipumba ameamua kuisambaratisha na kuunda Chama kingine kwa Jina lolote kwa ajili ya kuwakomboa Wazanzibari na Wazanzibara toka utawala kandamizi wa CCM umma wote utakuwa nyuma yake.

Kwa kufanya hivo Wabunge wote wa Kuchaguliwa CUF watakuwa wamepoteza uanachama wa CUF kama wale wa kuteuliwa(Special Seats) walivyopoteza juzi baada ya kutimuliwa na CUF ya Lipumba. Kitakachofuata ni Tume ya Uchaguzi kuitisha Uchaguzi na Wabunge wote wa Kuchaguliwa CUF watarudi Bungeni kwa jina la Chama kipya na ushindi mkubwa. Kwa mtaji huo CUF ya Lipumba watakuwa hawana Wabunge wa Kuchaguliwa na kwa mantiki hiyo hawatakuwa na Wabunge wa Viti Maalumu na hawatakuwa na RUZUKU tena.CUF watabaki na Lipumba na Sakaya na ndiyo itakuwa hitima ya CUF Tanzania.
 
To be frank, kwa siasa za Visiwani ni ngumu sana kwa CHADEMA kumbeba Maalim Seifu.
Ushahidi wa hili ni Uchaguzi wa 2015, angalia CUF alipata majibo mangapi na CHADEMA walipata majimbo mangapi under UKAWA.
Kukosa Chadema viti vya ubunge sio hoja inajulika Chadema huwa hawawekezi zanzibar wapo tu kwakuwa inawakilishwa na sheria
 
Chadema kama taasisi wataweza kua-handle influx ya Cuf Maalim?

Wanamudu sana, ni ukweli ulio wazi, Maalim hajaweka nguvu zake bara na cdm haina wafuasi visiwani. Na cdm hawana cha kupoteza kwa kupata wanachama huko Znz na support upande huo. Na Maalim pia hahitaji nafasi yoyote huku bara. Mbona hata walipokuwa ndani ya ukawa huko Zenji hakuna mwanacdm aliyekuwa na kimoto na upande huo? Kwangu mimi Maalim kuanzisha chama kipya itamuwia vigumu lakini kujiunga na cdm itakuwa ni rahisi sana.
 
upinzani wa sasa unatia huruma kweli.
Yaani maalim aanze upya tena!
 
Nyinyi Chadema mnaojifanya cuf tunakujuweni. Ambalo hamlijui ni kuwa hiyo Chadema ni chombo tu kinachotumiwa na Wachaga kwenye safari ya kuingia Ikulu. Kwa hivyo wale wote ambao ni makabila mengine ndani ya Chadema ni kondoo wa kafara tu. Ushahidi wa hilo, nini kilimtokea Zito baada ya kufanikisha kuingiza wanachama wengi mno ndani ya Chadema? Alifukuzwa. Bob Makani alitengwa pembeni mpaka leo jina lake limeshasahaulika. Katibu Mkuu wa sasa tayari wanamchimba kwa vitimbi mbali mbali ili audhike na aachie uongozi. Huyo Tundu Lisu walimpeleka kygombea uraisi TLS ikuwa ni kauzibe asije kugombea uraisi 2020 wa uenyekiti wa Chadema Taifa. Kwa taarifa yenu sisi wenye cuf ni tulushawashtukia njama zenu mda mrefu na ndio sababu kila mkijaribu kutoboa ukuta wa cuf drill yenu inakatika. To hell with your dirty games.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom