Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha: Shahidi wa pili alivyomtafuna Ole Sabaya

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Shahidi wa pili katika Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kupora fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 3,159,000 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili,Norman Jasin{17} ameieleza Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kuwa Sabaya aliteka wahudumu wanne katika duka la Mohamned Saad na kuwaweka chini ya ulinzi na kabla ya kufanya hivyo aliwapiga ngumi,mateke na vibao huku akiwaeleza kuwa wameiba dola 70,000 mjini Moshi na wanatakiwa kushitakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi.

Aidha Norman amedai kwamba Sabaya na kundi lake walijifanya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA na kumwamuru Norman ampigie simu mara kadhaa bosi wake(Mohamed Saad) na amtaarifu afike dukani Mara moja kwani Serikali ilikuwa hapo.

Jasin alitoa ushahidi huo mbele ya Hakimu Mafawidhi wa Mkoa wa Geita,Odira Amworo aliyekuja maalumu kuisikiliza kesi hiyo Jijini Arusha na kudai kuwa Sabaya aliingia dukani hapo kama mteja huku akiulizia Mapazia na kumwamuru Norman kumpigia simu mwenye duka na amweleze wale wateja wa jumla wapo hapa na wanataka aje kuwauzia.

Shahidi alieleza hayo huku akiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashitaka{DPP},Tumaini Kweka na kuieleza mahakama kuwa Sabaya ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la watu zaidi ya kumi akiwemo mwanamke na walinzi wake{Baunsa} walivamia duka la mjomba wake Mohamed Saad majira ya saa 11 jioni na kuwaweka chini ya ulinzi watu wawili wahudumu wa duka na mwanamke mmoja ambaye waliingia naye katika duka hilo.

Jasin ambaye alieleza mahakama kuwa kazi yake katika duka hilo ni kukaa kaunta kwa ajili ya kupokea hela na kutoa risiti alisema kuwa Sabaya alikuwa akimlazimisha mara kadhaa kumpigia simu mjomba wake Saad aje dukani lakini mjomba wake alisema hawezi kuja dukani kwa sababu yuko mbali na ndipo Sabaya alipompokonya simu na kitoa dakika tano awe amefika dukani.

Shahidi alisema baadaye alikuja Bakari Msangi Msangi na alipofika alimsalimia kiongozi was kundi hilo kwa kusema "habari yako Sabaya" lakini Sabaya hakumwitikia badala take aliwageukia Mabaunsa wake na kusema huyu hanijui jina langu??

Shahidi aliendelea kusema kuwa Bakari Msangi alirudia kumsalimia kwa kusema habari yako General Lengai ole Sabaya ndipo Sabaya alipoitikia na kumwambia Bakari Msangi Umefuata nini hapa??

Bakari alimjibu kwamba rafiki yake(Saad)amempigia simu na kumweleza kuwa dukani kwake Kuna matatizo.

Shahidi alisema kuwa Sabaya alimweleza Msangi kuwa rafiki yako anafanya biashara ya kuchenji dola na hawatoi risiti hivyo wanaibia Serikali na wanapaswa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

Alisema Msangi alimuuliza Sabaya iweje yeye Mkuu wa Wilaya ya Hai atoke Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kuja Jijini Arusha kufanya upekuzi katika duka hilo wakati Arusha kuna,Serikali, Mamlaka ya Mapato{TRA} na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa{TAKUKURU}.

Shahidi aliendeleza kuieleza Mahakama kuwa baada ya kuulizwa swali hiyo Kiongozi wa kundi hilo yaani Sabaya alimwambia Msangi kuwa wewe ni nani unaniuliza maswali hayo na kuamrisha walinzi wake wampige, wampekue na kumweka chini ya ulinzi Msangi ambaye ni diwani wa kata ya Sombetini Jijini Arusha.

Hata hivyo Shahidi huyi anatarajia kuendelea na ushahidi wake kesho kutwa baada ya mahakama kuahirisha kwa muda kwa sababu za kiimani.

Mbali ya Sabaya watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ni pamoja na,Sylivester Nyengu{26} na Daniel Mbura{38} ambapo inadaiw akuwa Februali 9 mwaka huu mtaa wa Bondeni Jiji la Arusha wote kwa pamoja wakiwa na silaha walifanikiwa kumpora Bakari Msangi shilingi 390,000 na simu mbili na fedha za mauzo.sh, milioni 2,769,000 .

Kesi hiyo inayosikilizwa kwa siku 14 mfururizo inatarajia kuendelea leo kwa upande wa mashtaka kutoa ushahidi.

Ends...

sabaya-2.jpg
 
Dogo amepatikana, inaonekana alifanya manuva kuwanunua baadhi ya mashahidi na watu wa mahakama lakini wazee wa kazi wameusoma mchezo.

Sasa kaletewa hakimu 'maalumu', hapo aanze tu kusali na kutubu.
Kamnunua nan mkuu?
 
HOJA HUJUBIWA KWA HOJA pia vivyo hivyo SHERIA HUJUBIWA KWA SHERIA

Interest zako na mtuhumiwa naomba yake pembeni

Naona shahidi anatoa gape kwa mtuhumiwa kujisafisha

1. Baada ya kupigiwa simu na kuona Kuna kitu hakiko sawa na akijua kuwa anafanya Biashara kwa risiti, au Ile simu ilijitambulisha kuwa n TRA na tatu kabisa simu ya mwisho ilkua ya vitisho na kumuamrisha Kama asipokuja ofisin kwake Kuna baya Litampata Sasa huyu shahidi 2 kwann asingepita polisi kutoa maelezo na kuomba msaada juu ya hilo ili wamoe ulinzi mpaka dukan kwake?

2. Baada ya tukio walienda kutoa ripoti kituo chochote Cha polisi?

Jamani mie ndo nimeanza masomo ya certificate ya SHERIA mwezi huu tar 1 hvyo wakubwa wa Sheria naomba mje huku mtuelekeze haya
 
View attachment 1860897
Wanamchelewsha, wamwachie ili wananchi wenye hasira kali wamtawanye!
 
HOJA HUJUBIWA KWA HOJA pia vivyo hivyo SHERIA HUJUBIWA KWA SHERIA

Interest zako na mtuhumiwa naomba yake pembeni

Naona shahidi anatoa gape kwa mtuhumiwa kujisafisha

1. Baada ya kupigiwa simu na kuona Kuna kitu hakiko sawa na akijua kuwa anafanya Biashara kwa risiti, au Ile simu ilijitambulisha kuwa n TRA na tatu kabisa simu ya mwisho ilkua ya vitisho na kumuamrisha Kama asipokuja ofisin kwake Kuna baya Litampata Sasa huyu shahidi 2 kwann asingepita polisi kutoa maelezo na kuomba msaada juu ya hilo ili wamoe ulinzi mpaka dukan kwake?

2. Baada ya tukio walienda kutoa ripoti kituo chochote Cha polisi?

Jamani mie ndo nimeanza masomo ya certificate ya SHERIA mwezi huu tar 1 hvyo wakubwa wa Sheria naomba mje huku mtuelekeze haya
Mkuu mwombe Hakimu amuachie Sabaya, wananchi wenye hasira kali bado wanamsubiri!
 
HOJA HUJUBIWA KWA HOJA pia vivyo hivyo SHERIA HUJUBIWA KWA SHERIA

Interest zako na mtuhumiwa naomba yake pembeni

Naona shahidi anatoa gape kwa mtuhumiwa kujisafisha

1. Baada ya kupigiwa simu na kuona Kuna kitu hakiko sawa na akijua kuwa anafanya Biashara kwa risiti, au Ile simu ilijitambulisha kuwa n TRA na tatu kabisa simu ya mwisho ilkua ya vitisho na kumuamrisha Kama asipokuja ofisin kwake Kuna baya Litampata Sasa huyu shahidi 2 kwann asingepita polisi kutoa maelezo na kuomba msaada juu ya hilo ili wamoe ulinzi mpaka dukan kwake?

2. Baada ya tukio walienda kutoa ripoti kituo chochote Cha polisi?

Jamani mie ndo nimeanza masomo ya certificate ya SHERIA mwezi huu tar 1 hvyo wakubwa wa Sheria naomba mje huku mtuelekeze haya

Mambo ni taratibu
 
walimpora mparee laki 3.9 na thimu aina ya tecno! typical.
lkn pia kwnn huyo Sad I mean Saad hakuja dukani kwake na kukimbilia msikitini kama yeye sio mwivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom