Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha: Shahidi wa pili alivyomtafuna Ole Sabaya

walimpora mparee laki 3.9 na thimu aina ya tecno! typical.
lkn pia kwnn huyo Sad I mean Saad hakuja dukani kwake na kukimbilia msikitini kama yeye sio mwivi?
Wewe unaongea zama za mwendazake ulikuwa unawezwa kufanywa chochote na usishitaki popote
 
HOJA HUJUBIWA KWA HOJA pia vivyo hivyo SHERIA HUJUBIWA KWA SHERIA

Interest zako na mtuhumiwa naomba yake pembeni


Naona shahidi anatoa gape kwa mtuhumiwa kujisafisha

1. Baada ya kupigiwa simu na kuona Kuna kitu hakiko sawa na akijua kuwa anafanya Biashara kwa risiti, au Ile simu ilijitambulisha kuwa n TRA na tatu kabisa simu ya mwisho ilkua ya vitisho na kumuamrisha Kama asipokuja ofisin kwake Kuna baya Litampata Sasa huyu shahidi 2 kwann asingepita polisi kutoa maelezo na kuomba msaada juu ya hilo ili wamoe ulinzi mpaka dukan kwake?

2. Baada ya tukio walienda kutoa ripoti kituo chochote Cha polisi?

Jamani mie ndo nimeanza masomo ya certificate ya SHERIA mwezi huu tar 1 hvyo wakubwa wa Sheria naomba mje huku mtuelekeze haya
Na mimi naomba nikuulize maswali yafuatayo ewe mwanafunzi wa sheria..

1.kutokwenda kwake kuripoti polisi kwa wakati huo kunamuondolea ole sabaya makosa yake au makosa yake sabaya yako pale pale ?
 
Tushike lipi!?? Shahidi alifika na kutoa ushahidi au la!??

Mnatuvurugaaa....
JamiiForums-526654032.jpg

View attachment 1861031
 
Dogo amepatikana, inaonekana alifanya manuva kuwanunua baadhi ya mashahidi na watu wa mahakama lakini wazee wa kazi wameusoma mchezo.

Sasa kaletewa hakimu 'maalumu', hapo aanze tu kusali na kutubu.
Zege hailali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom