Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha: Shahidi wa pili alivyomtafuna Ole Sabaya

Mpka kufika hapa alipo ana case ya kujibu na ndo maana hakupewa hata mdhamana,acha mapenz ya moja kwa moja ivo mkuu,hata kama una mahaba nae bac jua ana kesi ya kujibu
Mtu huweka sell mda mwingine ili kupunguza hasira za watu.

Kesi yake iko jikoni Wala sio huko Arusha.
 
kuamini sabaya alifanya makosa yote haya ni uhuru wa kila binaadamu timamu, ila kuamini sabaya atafungwa ni ugonjwa wa akili.
 
HOJA HUJUBIWA KWA HOJA pia vivyo hivyo SHERIA HUJUBIWA KWA SHERIA

Interest zako na mtuhumiwa naomba yake pembeni


Naona shahidi anatoa gape kwa mtuhumiwa kujisafisha

1. Baada ya kupigiwa simu na kuona Kuna kitu hakiko sawa na akijua kuwa anafanya Biashara kwa risiti, au Ile simu ilijitambulisha kuwa n TRA na tatu kabisa simu ya mwisho ilkua ya vitisho na kumuamrisha Kama asipokuja ofisin kwake Kuna baya Litampata Sasa huyu shahidi 2 kwann asingepita polisi kutoa maelezo na kuomba msaada juu ya hilo ili wamoe ulinzi mpaka dukan kwake?

2. Baada ya tukio walienda kutoa ripoti kituo chochote Cha polisi?

Jamani mie ndo nimeanza masomo ya certificate ya SHERIA mwezi huu tar 1 hvyo wakubwa wa Sheria naomba mje huku mtuelekeze haya
Kama ni ivi mbona uwakili ni kazi nyepesi sana hapa duniani.....
 
Mtu huweka sell mda mwingine ili kupunguza hasira za watu.

Kesi yake iko jikoni Wala sio huko Arusha.
Kwa hyo umeamua kuchukua majukumu ya hakimu na mawakili wanaoendesha case hyo mkuu?maana ni kama ushatoa hukumu na inasubiriwa aachiwe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom