King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,718
- 68,714
Washukuriwe MABEBERU.
HakikaWashukuriwe MABEBERU.
Unakera na siachi kukusoma.Hii ndio tofauti yetu na gazeti la Uhuru , tunakuletea usiyoyajua
Akijibu hili nitag,naona mleta uzi anairuka hii comment kama haioniHakuna jumuiya ya kimataifa ya kutetea gaidi aliyelalamikiwa tangu enzi za Chacha Wangwe
ID za kimkakati hizi , ndio za akina Polepole zilizomwagwa 2017, kwanini unadhani unachokidhani ? kama nilikuonyesha wazungu Mahakamani na ukawaona na kuamini , nini kinachokupa jeuri leo kunifananisha na uvccm , ambayo wewe unaifanyia kazi ?
Huyu jamaa sijui ana akili za namna gani aisee. Maybe he's/ she's hystericalJumuiya ya Ulaya EU sasa inaripoti kwa Erythrocyte ili kuufikishia Umma taarifa zake.
How hillarious
Karibu sana .Unakera na siachi kukusoma.
Labda ntaelewa