Kesi ya Ugaidi wa Mbowe Jumuiya ya Kimataifa, Mabalozi, EU na UN wadaiwa kumaliza kazi iliyokuwa inawapeleka Mahakamani

Pole sana for taking trouble kunifananisha na hao maamuma ambao umeiga aina ya umbumbumbu wao.

My simple and humble advice to you ni kuwa learn to present issues bila ushabiki uweze kujitofautisha na hao mazezeta ulioamua kuwaiga.

Hii style yako ya kuandika vitu kishabiki badala ya kufanya proper reasoning unaishia kufanya hata zile neutral and undecided minds zishindwe kuona tofauti ya vijana wa CCM na huko uliko wewe.

Lakini kama this is your new style kuwaiga hao vijana wa CCM just keep it
ID za kimkakati hizi , ndio za akina Polepole zilizomwagwa 2017, kwanini unadhani unachokidhani ? kama nilikuonyesha wazungu Mahakamani na ukawaona na kuamini , nini kinachokupa jeuri leo kunifananisha na uvccm , ambayo wewe unaifanyia kazi ?
 
Back
Top Bottom