Kesi ya Ugaidi: Kingai na genge lake waumbuliwa

Ukatili au uwongo ni vitu vibaya sana hasa hasa kumkwanza mwenzako. Hi laana huwa inajificha sana lakini lazima iumbue nyakati zinavyokwenda.

Hili neno uwongo na laana vinasuta dhamira sana. Msemwa jitafakari uepuke hi laana. Huu upupu utakwenda nao kizazi hata kizazi. Na happy inaweza kuwa ndiyo mwisho wa kizazi Chako kusonga mbele. Jenga familia ambayo haitawekewa kinyongo mbeleni.
Hiyo mioyo ya kusikia Maonyo wanayo?
 
Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.

Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.

Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
Hongera kwa matumaini uliyojipa- ila jiulize kama walipelekwa Tazara kwa nini wasingizie central
 
Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.

Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.

Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
La 'kubumba' halina ubani. Litasambaratika vilevile kama zilivyo kazi nyingine za kishetani. AMEN
 
Hahahaha RPC anaajiriwa na Beuraau De Change? hivi pesa hawa huwa wanaziweka wapi? au sababu zina mikono ya damu?
Ogopa sana pesa ya dhulma. Kuna mmoja hapa TANGA alikuwaga RTO Basi pesa ikawa inaingia tu, watu wapate ajali almradi yeye apewe pesa, wenye haki barabarani wanyimwe haki almradi rto apate pesa. Akajenga bar na gesti (biashara zao Ni hizi za kuchuma dhambi) Mara, kastaafu, bar ikakosa wateja, gesti ikakosa wateja hata bodaboda wakaistukia. Sasa hivi choka mbaya, isitoshe dialysis wiki Mara tatu, kisukari na presha juu.
Hakuna wa kumpigia saluti Wala wa kumletea hesabu. Wenye malori na mabasi waliokua wanatoa mgao kila mwezi ili magari yao yasikamatwe wamemblok kwenye simu.
 
Back
Top Bottom